Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Ngoja nikuambie.
Mimi pia babe wangu alinikuta broke tena broke haswaaaa.
Choka mbayaaaaa.
Lakini hakuniacha na hajaniacha.
Na mimi simuachi na sitomuacha labda yeye aniache.
Mwanaume kamili huwezi kumkimbia mwanamke au kumkataa mwanamke sababu umemtongoza au ulimchunguza ukagundua ako broke ukaona hafai.

Kwanza mstudy, halafu jua kwa nini ako broke kama ametuliza kichwa kuwa nae na msaidie afikie ndoto zake kama haeleweki we muache tu. Utapata mwingine

Kiukweli mimi ninaandika toka moyoni mwangu bila huyu mtu sijui ningetokaje kama direction nilishapoteza.

Lakini hakujali chochote kanitoa point a kanipeleka point b.
Na bado hachoki kama mwanaume.
Nahisi hapa nimekujibuulivyouliza man can date broke woman.
Ujue nini A man or woman shouldn't obligate themselves at all to supporting someone in such a capacity if they aren't married..period. Or they're setting themselves up for failure, because there is no guarantee, no covenant in place that says once this person makes it, they're going to take u with them! No way! It may work out..possibly..or it may not. And the people that do this are doing some dangerous gambling, in my opinion. I've personally seen people in these type of relationships that paid out 1000's of dollar supporting someone and then once they made it they married someone else, while the other person is bitter and couldn't believe it.
 
Haya mambo ya kusema ataenda kujibu kwa Mungu unajuaje labda atakuja kutubu kabla hajafa hivyo atasamehewa. Mimi kwa kweli kabla hajafika kwa Mungu lazima nimnyooshepo kidogo.
Yeah
Kama akitubu ni sawa pia ila dhambi ina gharama..
Lazima aingie gharama.

Na kila Jambo hutokea kwa sababu...pengine amenisaliti ili kuniachia njia kwenda sehemu Bora Zaidi
Kwahiyo siwezi kulaumu.

Pia siwezi kuanza kuwaza mawazo hasi ya kusalitiwa mapema hivi.
Napenda kuvichukulia vitu katika mtazamo chanya.
 
Safi.
Mwanzo nilikuwa na mentality mbaya eti nikitaka kutoka kula raha au bill ya maziwa nasema.
Nikaona sijibiwi.
Lakini nikisema nataka hiki kikubwa napewa tena kiwango kikubwa tu.

Nilichogundua ni kitu kimoja mwanaume anapenda kutoa ili kuweka alama kwenye maisha yaani kukutoa point a kwenda point b.

Hakuna mwanaume mwenye akili timu anayeenjoy kwenda kwa mwanamke anayelipa kodi au amepanga anafenicha ana kila kitu atawale.

Hakuna.

Wanaume wote ni ni providers by nature.
Msiwaharibu jamani.
Katulia tuli mshtue kidogo na kitu achangamke.
Yah hii mizinga yakitoto inabore mfano, vocha, hela ya pedi, chips, sijui kusuka and stuffs like that tunaona mnaweza kufight wenyewe mkavimanage endapo mkijishughulisha na biashara ndogo ndogo au kama umeajiriwa unaweza kuvimanage sema ndo hela yenu inakua ngumu but kwetu sisi nikama kero. Lakini inapokuja issue ya serious for instance mzazi wako kaugua let say kalazwa inahitajika hela ya matibabu hata kama ni million nitatoa kiroho safi au umeshindwa kulipa kodi nitatoa tuu coz nivitu reasonable. Sasa mtu umeshindwa kulipa vikoba elf 20 unaanza sms siku nzima dah
 
Ooooo Haleluya.
 
Yeah
Kama akitubu ni sawa pia ila dhambi ina gharama..
Lazima aingie gharama.

Na kila Jambo hutokea kwa sababu...pengine amenisaliti ili kuniachia njia kwenda sehemu Bora Zaidi
Kwahiyo siwezi kulaumu.

Pia siwezi kuanza kuwaza mawazo hasi ya kusalitiwa mapema hivi.
Napenda kuvichukulia vitu katika mtazamo chanya.
Oohh very good. Very very good.
 
Mimi nilisemaga kwamba, I will NEVER let a woman take care of me or kids, PERIOD, but to each his own, if u the type of male that likes being taken care of by a woman then that’s on u. I think a man should at least be able to have the basics in life, a home, a car, savings of at least a third of his salary. In this country if u not doing at least $500,000 a year then u broke.
 
Mzoee tu vituko vyake. She is a comedian.
Tena huyu ucomedian amepunguza sasahivi...
Kuna mwaka nikiona comment zake nilikuwa nacheka hadi natokwa na machozi..sasa nikiangalia na ile Avatar yake ya kiemoj basi Mimi ni kucheka tu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom