Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Hapana.
Kuna siku nilikuwa na semina na corporate women wale wadada wa mjini wenye mafanikio na biashara zao.
Wanamiliki microfinance, ana kiwanda cha kuchakata taka kuwa karatasi, miradi mikubwa ya kilimo n. K mie pekee yangu sikuwa level hiyo. Nipo nao pamoja sababu naamini one day nitafika kama wao.

Wengi wao wanawashukuru wanaume zao mpaka kufika hapo.

Mmoja alisema mwanaume wake alikuwa analala mufindi maporini huko anakata miti kwa ajili ya nguzo za umeme.
Mtaji ndo walipatia hapo.
Just uboyfriend tu mpaka leo wapo mbali sana.
So usiogope kuambiwa "am not your type".
Hakuna mwanamke anayesahau wema wa mwanaume labda umtibueee afute kila kitu.
Weeeeeeeeeeeeeeee... hiyo sentenzi ya mwisho ina walakini mkubwa..
 
  • Thanks
Reactions: amu
Waulize wakiomba picha. Ukituma selfie anataka picha full.
Unamuuliza unataka uone nini? Kumbe anataka aone tako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mto mada wanawake hawajalikes uzi wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatujapendezwa na huu uzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Una hela za kuhudumia wake wanne? Au kwa vile umeona amesema hajui kuomba hela umeona mteremko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumwachia kila kitu Mungu ni uzembe, kwani akili alikupa za kuvukia barabara tu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]aiseeee
 
Hakuna broke woman bwana we, kuna broke men tu. Mwanamke unaemuona broke ni kuwa kazungukwa na wanaume wasiotumia akili vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo wanaume wote wa jf wanataka kukuoa.
Lakini wengi wao ni hiyo kutoomba hela ndo wamependa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawataki kuombwa hela..

Kuna wengine Wana akili wanatoa wenyewe
 
Msimamo wangu uko pale pale kuwa siku hizi hakuna mapenzi ya kweli. Kama ambavyo wanaume huwa mnaangalia sura na matako kwa wanawake (utadhani wamejiumba) basi acheni na wanawake waangalie pesa na vingine wanavyovijua wao kwa wanaume maana vyote hivyo siyo vigezo vya mtu kuwa mke mwema wala mume mwema.
Problem is you focus on the wrong people. Look at the upright people. Young, mature and focused.
Hao mnaowaangalia Ni Nani hasa katika jamii mpaka mnawapa uzito wa kuwashawishi whether to get married or not jamani?
 
Back
Top Bottom