Canada: Binti (Mkenya) afa Maji akiogelea huku akijirekodi LIVE kupitia Facebook

Canada: Binti (Mkenya) afa Maji akiogelea huku akijirekodi LIVE kupitia Facebook

maishani mwangu sijawahi kuweka urafiki na maji ya kuogelea.
Nikienda baharini uwa naogolea maji Yale ya karibu Kama mtoto.
Bora nionekane mshamba kuliko kujitia ujuaji nikaenda kufa.maji Yana tabia ya kukuvuta.na kukuweka Kati chini haufiki juu haufiki hapo ndo utajua unajua
 
Ila alikuwa anajiona, kwanini alienda kuogelea peke yake alikuwa hana hata ndugu wa kwenda nae
 
Aisee ameondoka na mbususu yake bado tulikuwa tuna kazi nayo. HASARA kubwa sana.
 

Msichana Afa Maji Akiogelea Kwenye Swimming Pool Huku Akijirekodi Live Kwenye Facebook​




Hellen Wendy raia wa Kenya na nesi kwa taaluma aliyekua akiishi nchini Canada amefariki dunia jana kwenye swimming pool akiogolea uku akiwa live kupitia ukurasa wake wa Facebook.

Taarifa za awali zimedai kua Wendy alirejea nchini Kenya kwaajili ya mapumziko na aliamua kwenda swimming pool uku akijirekodi live kuanzia mwanzo wa tukio lake la kuogelea kupitia ukurasa wake wa Facebook akaamua kushare na watazamaji wake lakini ghafla baada ya kuingia kwenye maji na kuanza kuogelea ndio hali ikaanza kubadirika kuanzia dk ya 11 mpaka dk ya 13 ya video recording #HellenWendy akaanza kupiga kelele zilizoashilia kua alikua anatafta msaada wa kuokoa maisha yake lakini kwa bahati mbaya hakuna aliyetokea eneo la tukio kumuokoa mpaka akafariki ndani ya swimming pool hiyo. Video recording kupitia simu yake aliyokua ameitegesha iliendelea kwa kurekodi mpaka masaa 3 na baada ya masaa matatu ndio watu wakatoea eneo la tukio ambao walienda kuogelea pia na wakagundua kua ndani ya maji Kuna mwili wa #Hellenwendy ambae alikua ameshafariki.

Kufuatia tukio hili wafwatiliaji wa live recording ya #hellenwendy wamekua na maoni tofauti wengine wamedai ni Kama alijitabiria kifo kutokana na chats za WhatsApp zilizopatikana na kuna wanaodai kua hakuwa anafahamu kuogelea vizuri ndio sababu hasa ya kifo chake.

Mungu amlaze mahali pema peponi pole kwa familia.🙏🏾🙏🏾
Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
 
Back
Top Bottom