Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani nilikuwa najua ya kuwa kila Mzungu anajua kila kitu, nilivyokuja kufanya nao kazi nikakuta wao kama sisi tu wapo wanao jua na wadio jua.Kuna kitu kingine mtani, hivi unaweza kukubali kwa mdada ametoka majuu huko ashindwe kuogelea kwenye hayo maji?
Ameondoka na mzigo wetu wa mbususu aka the smallest hotel. Dada mzembe kichiziAlipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
Acha uoga.Kuna vitu vitatu huwa sitaki kabisa mchezo navyo maishani
1. Maji
2. Upepo
3. Moto
Sio yangumzee hii ndio page yako au ni ya huyo marehemu?
Manyonyo ya marehemuMmekazana pichapicha lengo lenu kuona manyonyo tu
Cha ajabu mno.Kifo ni kitu cha ajabu mno
Nimecheka kama mazuri.maishani mwangu sijawahi kuweka urafiki na maji ya kuogelea.
Nikienda baharini uwa naogolea maji Yale ya karibu Kama mtoto.
Bora nionekane mshamba kuliko kujitia ujuaji nikaenda kufa.maji Yana tabia ya kukuvuta.na kukuweka Kati chini haufiki juu haufiki hapo ndo utajua unajua
Lol. Bora kuonekana mshamba.Itakua alienda kwenye kina kirefu..wengine tusiojua kuogelea kwenye maswimming pool hua tunauliza "ebana eeh wapi kuna kina kirefu" ukiambiwa kuanzia pale hakuna kusogea mitaa hio kabisa..
Una shida ndio. Wa kuangusha vitu vizito na kwa bahati mbaya kikikuangukia unaweza ukafa. Mf miti, mapaa ya nyumba. N.kUpepo una shida gani?
Panic huanza pale ambapo labda ulikua unatembea ndani ya maji halafu gafla bin vuum kina kimeongezeka hapo lazima uzame...Lol. Bora kuonekana mshamba.
Maji yakifika sehemu ya kifua tu kama hujui kuogelea yanakuwa maziittooo. Na ukipanic kdg tu laziim yakuvute.
Mimi hata hayo ya karibu sijawahi na wala sina mpango wa kujaribumaishani mwangu sijawahi kuweka urafiki na maji ya kuogelea.
Nikienda baharini uwa naogolea maji Yale ya karibu Kama mtoto.
Bora nionekane mshamba kuliko kujitia ujuaji nikaenda kufa.maji Yana tabia ya kukuvuta.na kukuweka Kati chini haufiki juu haufiki hapo ndo utajua unajua
Maji nayajua.miaka Kama 15 nyuma pale kawe beach yalitaka kunipeleka kuzimu .mpaka leo nayaheshimu.tulienda wakati maji yametoka tukayafuata kumbe maji Yana kawaida ya kurudi na kujaa nyuma Sasa kimbembe wakati wa kurudi.kila nikikanyaga chini sifiki.juu sifiki.nikaona hapa nikipaniki nakufa nikaamua nishuke chini nitembee kwa miguuNimecheka kama mazuri.
Yaani kwa kweli bora kuonekana mshamba