Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hadi sasa najiuliza,ilikuwaje akawa mwenyewe lile eneoHata ujue kuogelea vipi.
Ni hatari kuogelea ukiwa peke yako.
Unaweza shikwa na msuli, au stroke au pressure au body failure yoyote wakati upo kwenye maji hata ya kina kidogo na ukaaga dunia.
Ujumbe Ogelea na Wenzako.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app