Canada: Binti (Mkenya) afa Maji akiogelea huku akijirekodi LIVE kupitia Facebook

maishani mwangu sijawahi kuweka urafiki na maji ya kuogelea.
Nikienda baharini uwa naogolea maji Yale ya karibu Kama mtoto.
Bora nionekane mshamba kuliko kujitia ujuaji nikaenda kufa.maji Yana tabia ya kukuvuta.na kukuweka Kati chini haufiki juu haufiki hapo ndo utajua unajua
 
Ila alikuwa anajiona, kwanini alienda kuogelea peke yake alikuwa hana hata ndugu wa kwenda nae
 
Kuna kitu kingine mtani, hivi unaweza kukubali kwa mdada ametoka majuu huko ashindwe kuogelea kwenye hayo maji?
Itakua alienda kwenye kina kirefu..wengine tusiojua kuogelea kwenye maswimming pool hua tunauliza "ebana eeh wapi kuna kina kirefu" ukiambiwa kuanzia pale hakuna kusogea mitaa hio kabisa..
 
Aisee ameondoka na mbususu yake bado tulikuwa tuna kazi nayo. HASARA kubwa sana.
 
Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…