Canada: Binti (Mkenya) afa Maji akiogelea huku akijirekodi LIVE kupitia Facebook

[emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
huyu tatizo lilikuwa ni jingine sio maji.

kwa dakika zaidi ya 10 anaonekana kuyamudu vyema,hata kuigolea anajua,hasa kwa kuangalia namna alivyokuwa anarejea kuisogolea simu.

kama sijakosea alipata shambulio na moyo.
 
Huyo kuogelea alikuwa anajua ila kwa kiasi kidogo, ama tu bahati mbaya maji yalimzidii…

Tusiojua kuogelea uwa tunajikalisha hapo kwa ngazi na vimiguu ndio tunadumbukiza kwa pool…
Mimi hata mguu wangu Kwa hiyo pool siingizi[emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Victim's Lack of swimming skills , the absence of life guards at the pool and lack of pool supervision are the contribution factors to Helen's death. Too sad indeed

Hicho kifo hakihusiani na "mambo yetu yale" kweli?

Ingawa video haioneshi vizuri, hiyo object nyekundu huko nyuma pembezoni mwa kibanda ni nini, maana kimetamba sana, kikienda mara upande huu mara upande ule!

Ujuzi wa kuogelea hauhitajiki kwenye maji kiwango kile ambacho mtu anaweza kusimama na kutembea bila ya kuzama.

Kwa muktadha wa video hiyo, marehemu alikuwa anaoga, sijamuona kuogelea hapo.
 
Umeongea point sana.

Ukiangalia kwa macho ya nyama, hakuna sababu inayoweza kuua mtu pale.

Kama ni maji, yalikuwa hayana ujazo wa kummeza!
 
The swimming pool has a story to tell
 
Hivi ss hapo amezameje wakati alikuwa ameyamudu maji?au alisogea sehemu yenye kina zaidi?
 
Hii ilinikuta gymkhana nadhani ile ndio ilikuwa siku ya mwisho kuingia baharini kuogelea
 
Da ulitumia akili hata mimi nimeshangaa huyo demu kushindwa kutumia hiyo akili kujirudisha alipo kuwa.
 
Hivi ss hapo amezameje wakati alikuwa ameyamudu maji?au alisogea sehemu yenye kina zaidi?
SINA PESA ZA KUURUDISHA MWILI WA MWANANGU, NILIKOPA BANK MWANANGU ASOME, NILIJUA NIMEUACHA UMASIKINI.

[emoji24][emoji24] Familia ya muuguzi wa Kenya aliye aga dunia nchini Canada wakati akiogelea katika swimming pool huku akijirekodi live kwenye ukurasa wake wa Facebook, familia yake imesema imeshindwa kuurejesha mwili wa mpendwa wao kwa ajili ya hafla na mazishi.

Ikiongozwa na baba yake Jonh Nyabuto,familia ya Hellen Nyabuto maarufu kama Wendy imezungumzia kuhusu kumpoteza mtoto wao imesema kuwa bado ina ng'ang'ana kukubali kifo cha binti yao.

Kwa mujibu wa baba yake bado wanahangaika kupata pesa za kuurejesha mwili wa mpendwa wao ili aweze kupumnzishwa.

"Nimelia sana tangu nilipopata hii taarifa, rafiki zake wamekuwa wakinipigia simu na kufafanua kilichotokea, ninashindwa jinsi gani nitauleta mwili wake nchini, nimepoteza binti yangu na hakuna kitu ninachoweza kufanya sijui gharama ya kuusafirisha mwili wake kuja nchini uchungu ni mwingi, naomba msaada,
Yeye ndiyo alikuwa mwanga wangu nimemsomesha kwa shida nyingi sana" mzee Nyabuto ameliambia gazeti la the Standard .
 
Hata ujue kuogelea vipi.
Ni hatari kuogelea ukiwa peke yako.

Unaweza shikwa na msuli, au stroke au pressure au body failure yoyote wakati upo kwenye maji hata ya kina kidogo na ukaaga dunia.

Ujumbe Ogelea na Wenzako.
 
Maskini[emoji3064]
Mungu awatie nguvu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…