Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Labda Putin ila netanyahu Hana huo uwezo kwanza uwepo wake wenyewe unategemea hao waliomshitaki
Wanaidanganya tu dunia,watamkamata kuanzia wapi...Wanaukumbi.
Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.
Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"
Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu
==============
8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.
@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”
View attachment 3158681
Hz nchi zinaona sw Kwa alochofanya HAMAS Kwa Israel , Hawa wanachukia kuona Israel anataka maliza vita Mashariki ya kati Kwa kumaliza magaidi , Bora Africa ya kati walivyowatimuq Hawa akina France , ilikuwa seleka wanazurura mtaani pale Bangui na ukiwaulzia wanasema wamekuja kuleta amani ,wakati wavunja aman wanazurura mtaani , soon hayo mataifa yatakubwa na ugaidi huu wanaushabikiaWanaukumbi.
Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.
Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"
Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu
==============
8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.
@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”
View attachment 3158681
Walikuwa wap kipindi Ukraine anavamiwa , kwao ni sahihi Urusi kulipia mpk ubaloz na ofisi za UN ndani ya Ukraine ila wamemuona Netanyau mnyonge waoWewe ndiyo una akili kuzidi hizi nchi mwambie aende😂
View: https://x.com/sospunjab/status/1859898356551843940?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Huu uongo unakusaidia nini!?Hahaha CANADA hawajui hao ano watetea, Siku atakuja shtuka HAMS wamelipu TORONTO, mtu wa kwanza atakaye mpigia simu ni NETANYAU, kumjuza panya wesha ingia huku.
Hao Hizbollah wameshashindikana.Mliwasifia Hizbullah hivi hivi mkawa mmewaingiza kwenye tabu.
Zamu yao ni mwezi ujao kwa mujibu wa Binyamin Netanyahu!
Kikundi Cha kigaidi Kwa mujibu wa SHANGAZI yako!?Yaani kikundi cha kigaidi kishambulie Israel halafu Israel ikiadhibu kikundi hicho ndio iwe uhalifu wa kivita kiasi cha kupelekea Netanyahu akamatwe? Netanyahu sio Slobodan Millosevich wala Charles Taylor na kina Kony
Huyo hanaga anachojua.Huoni aibu ..yaani kama Toto vile mbona unadeka ivooo kwa niaba ya netanyau
Hao wanasema hivyo kuihadaa Dunia ili ionekane hawajaidhatau mahakama ambayo walishiriki kuiunda, lakini hakuna wa kufanya hivyo.
Netanyau anaogopwa zaidi Duniani na ndiyo maana anafanya atakavyo mashariki ya kati 🐒Putin sawa, ila SHETANYAHU alete WW3 kwa kipi? huyo mwizi wa ardhi anajulikana dunia nzima kwa ujambazi.. hata nchi yake mwenyewe kaiibia anasubiriwa atoke huo uwaziri mkuu aende court hapo Tel Avivi
sasa netanyahu mwenyewe ameshazeeka na soon ataachia ngazi, pia hana mpango kusafiri huko, na kama wametangaza hivyo ni kwamba wanamtonya asiende, unafikiri atakamatwa? unafikiri ataathirika kwa lolote>? wakati marekani imelaani kitendo cha warrant hiyo.Wanaukumbi.
Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.
Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"
Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu
==============
8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.
@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”
View attachment 3158681
Muerevu sasa mbona tena unaleta muhemko 🤣Hivi hata unaelewa nacho ongea? Mpaa uwe na akili ndio utafahamu wenye akili wakiongea. We umesema akikamatwa nyau kutakuwa na vita vya WW3 kivipi? Sababu ipi hujatueleza. Pili kama unategemea US atakuwa against UK basi unaota US yuko tayari kuwapinga Israel lakini asimpinge UK hio weka akilini UK wameisha sema Nyau watamtia ndani akigusa UK hilo ni pigo kubwa sana kwa USA kabla ya Israel. Usifananishe Putin na Nyau hata siku moja.
Yupo busy kuongoza nchi yake hasa kipindi hiki cha mapambano. Aende kufanya nn?!Sasa kama kweli yeye mwanaume aingie nchi moja wapo hapo.
Labda allah mungu wa waarabuYahudi ni adui wa huyo Mungu wako,walimkana,wakamtesa kisha wakamsulubu,
Toka usingizini.
Ila jamaa kafanya genocideSlovenia and Cyprus acknowledge ICC arrest warrants for Netanyahu and Gallant!
Slovenia will respect arrest warrants issued by the International Criminal Court (ICC) and "will fully comply".
Cyprus looking at ICC arrest warrants, says its decisions are binding
Hivi hizi mambo za ajabu ajabu tunazitolea wapi mbona tunakuwa namna hii tunaleteana na kubishana mambo ya kipuzi kweli kweliSasa kama kweli yeye mwanaume aingie nchi moja wapo hapo.
Akifika katika nchi zao, easy mathWanaidanganya tu dunia,watamkamata kuanzia wapi...