Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Kwahiyo Netanyahu ndio muuaji pekee dunia hii au umetoka sayari ya Pluto

Ujinga uliopitiliza ni kujidhania itobo huko, kuwa bora zaidi kuliko wengine:







Hivi huwa hata hamjihurumii?

Bure kabisa!
 
Itakuwa wamesha mchoka mpaka Canada wamesema hivyo !!! Duhh!! Canada siwashirika wa USA Hao what went wrong!!?
Canada na USA ni jirani ila hapana ushirikiano wa karibu hasa Israel inapohusishwa. Mfano mengine Trump kutangaza tariffs kwa bidhaa zote zinazotengenezwa nje ya USA, hivyo hata Canada wamo.
 
Janja ya nyani kula Hindi bichi😇😆😆
Taja nilini Nyeta Amewahi kutembelea kati ya hizo nchi!🎤
Hili sakata hata netanyahu asipokamatwa litaacha nchi nyingi sana zijitafakati kwenye hizi jumuiya mbalimbali za kimataifa zinazodai zinapambania haki za binadamu.

Raisi wa hungary amemualika netanyahu kwenda hungary baada ya icc warrant

Uzuri internet ipo macho
 
Hao ICC watamkamata kweli aisee itachukua muda ila nondo ataenda tu hao jamaa hawana mdhaha na mambo yao.
 
Unaweza ukatukumbusha mara ya mwisho Netanyahu kwenda Ufaransa, Canada, Hispania, Norway na huko kwingine ni lini?
 
Waache wawakaribishe
 
Janja ya nyani kula Hindi bichi😇😆😆
Taja nilini Neta Amewahi kutembelea kati ya hizo nchi!🎤
Unaumia ukiwa wapi?🎤
Nachopendea hizo nchi zinaakili mingi sana zinakwmbia hivyo halafu zinatoa msaada kimya kimya hiyo Siri hawataweza kuijua wasiokuwa na umoja wanaoongozwa na makini kamwe
 
israel hata ibaki peke yake na dunia nzima iwe kinyume nayo itasimama imara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…