OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
That will not happen.Magu atengwe kimataifa.
Mgejitenga na kauli hizi za hao jamaa! Ingewasaidia sana Kisiasa kiasi cha baadhi ya watanzania kurejesha imani yao kwenu. Lakini kadri mnavyozidi kujihusisha na matamko ya jamaa hawa ndiyo mnazidi kuwachefua watanzania!Magu atengwe kimataifa.
Serikali imeombwa na wenzao wa Canada kuwa wachunguze na kuchukua hatua za mauaji yaliyotokea ww unasema hutaki ushoga. What is wrong with you?Waaambie hatutaki ushoga wao.....uku wote tunadindisha mkonga
elders wanafiki kuliko hata vijana. nimemsikiliza mzee Butiku jana ikabidi nibadili channel.Nchi haina the elders??
Hadi nchi zingine ziseme??
I guess alishawatenga wao...Magu atengwe kimataifa.
elders wanafiki kuliko hata vijana. nimemsikiliza mzee Butiku jana ikabidi nibadili channel.Nchi haina the elders??
Hadi nchi zingine ziseme??
Hata kwenye business zenye maslahi ya wazungu watazuia pia?Viongozi wa kitaifa wanenda kuingia katika ile list ya watu wasiokubaliwa kuingia Ulaya na marekani, Muda utatupa majibu
Tutachunguza msijali nyie wakamanda.Disturbed by reports of arrests and violence against political candidates and supporters. Protection of civilians is essential for peace and stability. Canada calls on the government of Tanzania to investigate and prosecute those who have violated human rights.
Magufuli alishatangulia kuwatenga kabla hawajamtenga...Magu atengwe kimataifa.
Mwenye masikio na asikie na mwenye macho aone.Kwa watanzania wenzangu wote.
i). Je, kadri demokrasia ya vyama vingi inavyozidi kuenea mataifa mbalimbali ni nani anayenufaika?
ii). Je, kwa kumjua mnufaika huoni unaikanyaga ardhi yako kupigania maslahi ya taifa la wenzio?
iii). Je, kwakuwa umeshaujua werevu utajilazimisha kuendelea kuufanya ujinga?
MAGUFULI4LIFE.