Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Njaa inawasumbua , pension haitoshielders wanafiki kuliko hata vijana. nimemsikiliza mzee Butiku jana ikabidi nibadili channel.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa inawasumbua , pension haitoshielders wanafiki kuliko hata vijana. nimemsikiliza mzee Butiku jana ikabidi nibadili channel.
Nchi bila upinzani unaona ni sawaHawa wanasiasa wa upinzani ni wajinga sana.
Hawajifunzi.
Yaani hadi sasa bado hawajajitambua kuwa waonekana wanatumika.
Yaani huyu
Salary Slip
Quinine ndo waongoza kwa hizi nosense agendas.
Kwani serikali ni kina Nani ?? Daaaa wewe sijui shule ulifata nini ........wanaanzaje kuomba vitu uku mbali hivo badala ya kuwahoji jirani zao pale mbona mauaji ya watu weusi yanazidi Sana na karibu Kira siku mnatumia bunduki kuua watu......ndio ilipaswa kuuliza ......uku kwetu watuache Kwanza maana vurugu ni mpaka uchaguzi haafu basi......Serikali imeombwa na wenzao wa Canada kuwa wachunguze na kuchukua hatua za mauaji yaliyotokea ww unasema hutaki ushoga. What is wrong with you?
Sindio nyinyi watanzania mfurahie mkuu, maana kauli za upinzani ndio zinawamaliza kabisa ,sasa nyie ccm inatakiwa mfurahie sana, ili vyama vyetu vipotee jumla.Mgejitenga na kauli hizi za hao jamaa! Ingewasaidia sana Kisiasa kiasi cha baadhi ya watanzania kurejesha imani yao kwenu. Lakini kadri mnavyozidi kujihusisha na matamko ya jamaa hawa ndiyo mnazidi kuwachefua watanzania!
Wapo akina Mwinyi wanaosapoti jamaa afie ikulu!Nchi haina the elders?
Hadi nchi zingine ziseme?
Uko huru wapi na hiyo korosho yako iliyobanguliwa na wanajeshi unapoiuza pesa hupitia kwao ?hivi hawa mbuzi si ndio walishirikiana nao kipindi kile cha makinikia na ndege zetu za dreamliner? yaani wote watakuwa uchi safari hii, kila aliyekuwa nyuma ya hawa wahuni atajulikana. Namkumbuka mzee wa upepo ukipuliza sana tunaona nyuchi za kuku..... Kenge kabisa hawa, hii ni nchi huru wasisahau....
Serikali imeombwa na wenzao wa Canada kuwa wachunguze na kuchukua hatua za mauaji yaliyotokea ww unasema hutaki ushoga. What is wrong with you?
Viongozi wa kitaifa wanenda kuingia katika ile list ya watu wasiokubaliwa kuingia Ulaya na marekani, Muda utatupa majibu
Halafu huko Asia wata draw vipi pesa zao kwenye bank? Labda watembee na mabegi ya noti ,na huruhusiwi zaidi ya 10000 US-dollar.Plus wakitakiwa The Hague lazima wakamatwe wapelekweHalafu?? Itawanyima maisha? Dunia iko Asia, grow up
Heheh! Mkuu nafikiri hii ndio injection inauma kuliko zote aisee.Canada sisi ni wateja wao wa Bombardier , tulieni jamani tutawapa ushirikiano tu, viongozi wa upinzani tangu mwanzo wa kampeni wao wlikuwa wanahamasisha fujo tu...na huku tunao utamaduni wetu tofauti na huko, mtoto akichezea moto anapigwa kabla hatujapiga 991!
Polisi sisi wananchi wapenda amani tupo nyuma yenu na tutawapa taarifa kama kuna watu wanajikusanya kuingia barabarani ili wapewe sindano zaPenicillin G benzathine kabla hawajaharibu mali za watu...
Tunaomba namba za makamanda wa polisi ngazi zote, na mikoa yote!
Eti wao wanabaki kutetea Amani, hopeless!Mwafrika kwake neno HAKI ni mwiko,na ndiyo linalochochea migogoro umaskini na kila kitu, yuko tayali inchi iwekewe vikwazo raia wataabike sababu tu ya kuzuia HAKI
Hii hata bondia Mwakinyo kabla ya kumchoma wamwambia alale kitandani kwanza na kbla ya kuinuka unamuuliza kama miguu ina nguvuHeheh! Mkuu nafikiri hii ndio injection inauma kuliko zote aisee.
Hongera Magufuli,Hongera Mwinyi,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hatuhitaji kwenda ulaya. Afrika inatutosha.ngoja uone MTU atakavyominywa kisawasawa ,anafikiri anaweza akafanya lolote .
Naielewa vizuri ndiyo waliyochomwa hawa viranga wa mabeberu October 28th wanashindwa kutembea sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Hii hata bondia Mwakinyo kabla ya kumchoma wamwambia alale kitandani kwanza na kbla ya kuinuka unamuuliza kama miguu ina nguvu
hivi hawa mbuzi si ndio walishirikiana nao kipindi kile cha makinikia na ndege zetu za dreamliner? yaani wote watakuwa uchi safari hii, kila aliyekuwa nyuma ya hawa wahuni atajulikana. Namkumbuka mzee wa upepo ukipuliza sana tunaona nyuchi za kuku..... Kenge kabisa hawa, hii ni nchi huru wasisahau....
Africa mbali ukiwa na hela nzuri Tanzania tuu ni sehemu nzuri sana kutembelea mikoa mbali mbali kujifunza lakini sio lazima Western countries kuna Asia ni sehemu nzuri sana nchi kama China,Singapore, Malyasia, South Korea kule Ulaya kuna Turkey na Urusi.Hatuhitaji kwenda ulaya. Afrika inatutosha.