Uchaguzi 2020 Canada wataka uchunguzi ufanyike dhidi ya waliokiuka haki za binadamu katika Uchaguzi Mkuu 2020

Uchaguzi 2020 Canada wataka uchunguzi ufanyike dhidi ya waliokiuka haki za binadamu katika Uchaguzi Mkuu 2020

Nchi bila upinzani unaona ni sawa

Sawa unaipenda ccm

Ni kwamba na akili hauna. ?
Mimi sijawahi kuipenda CCM.

Ila napenda serikali yake ambayo iliingia 2015.

Napenda serikali hiyo inavyotekeleza sera na ilani ya CCM kwa vitendo.

Haikuwahi kutokea hali hiyo kabla ya 2015.
 
Mimi sijawahi kuipenda CCM.

Ila napenda serikali yake ambayo iliingia 2015.

Napenda serikali hiyo inavyotekeleza sera na ilani ya CCM kwa vitendo.

Haikuwahi kutokea hali hiyo kabla ya 2015.
Nchi bila upinzani unaona ni sawa

Una akili ?
 
Viongozi wa kitaifa wanenda kuingia katika ile list ya watu wasiokubaliwa kuingia Ulaya na marekani, Muda utatupa majibu
Waende vijijini, ndiko kuna changamoto walizoombea kura. Sio kwenda ulaya na marekani huko kuna mabalozi wetu!
 
Unajua wewe una akili Sana

Hebu jibu maswali yangu
Nchi yoyote ni lazima kuwepo upinzani.

Lakini yategemea na aina ya upinzani uliopo na una ajenda ipi.

Hivyo sasa upinzani iwe kama wazaliwa upya na waanze upya iwe kama ilivyoanzishwa NCCR-Mageuzi.

Ila kwa kuwa na mbunge mmoja wapinzani wameji-complicate wenyewe.
 
Halafu huko Asia wata draw vipi pesa zao kwenye bank? Labda watembee na mabegi ya noti ,na huruhusiwi zaidi ya 10000 US-dollar.Plus wakitakiwa The Hague lazima wakamatwe wapelekwe

Unahamisha maada na magoli

Pole

Ndio maana mpo mlipo leo
 
Tunatakiwa kujenga taifa la watu wanaoaminiana na kuheshimiana kama ndugu.
Watu wachache waovu ambao hutumia madaraka yao kupindisha haki wakitegemea kujificha kwenye mwavuli wa chama na dola wafichuliwe na wachukuliwe hatua stahiki.
Upatikanaji wa karatasi za kura zisizo halali umeaibisha vyombo vya dola na taifa kwa ujumla.
Wenye kujenga au kubomoa nchi ni wananchi wenyewe, wageni ni washauri tu.
 
Mgejitenga na kauli hizi za hao jamaa! Ingewasaidia sana Kisiasa kiasi cha baadhi ya watanzania kurejesha imani yao kwenu. Lakini kadri mnavyozidi kujihusisha na matamko ya jamaa hawa ndiyo mnazidi kuwachefua watanzania!
Kwa tafsiri yako wa CCM ndo Watanzania.
 
Mgejitenga na kauli hizi za hao jamaa! Ingewasaidia sana Kisiasa kiasi cha baadhi ya watanzania kurejesha imani yao kwenu. Lakini kadri mnavyozidi kujihusisha na matamko ya jamaa hawa ndiyo mnazidi kuwachefua watanzania!
Usitegemee wote tuwaze kama nyie.
 
Mabeberu wamechanganyikiwa. Mpaka sasa hawaamini kuna mtu wao chalii.
Wanajutia pesa zao
Screenshot_20201031_162252.jpg
 
Mbona hiyo Canada haikuichunguza USA Trump aliposhinda baada kusaidiwa na computer geek wa Russia?
 
Disturbed by reports of arrests and violence against political candidates and supporters. Protection of civilians is essential for peace and stability. Canada calls on the government of Tanzania to investigate and prosecute those who have violated human rights.

When has Tanzania ever called upon for the arrest of any criminal in Canada? Who do you think you are?
 
Back
Top Bottom