Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kabla hata hajazuiliwa nadhani hana. Mpango wa kukanyaga huko kabisa. Hata hivyo marekani sio nchi ya kumpa mtu mawazo akizuiliwa kuingia,mimi nikizuiliwa kuingia Asia,ndo nitaumia otherwise, marekani na wote wanoisupport ni mknd tu.Viongozi wa kitaifa wanenda kuingia katika ile list ya watu wasiokubaliwa kuingia Ulaya na marekani, Muda utatupa majibu