Usinene kwa hasira
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 391
- 435
Ina ashiria kwamba limekutawala na ndilo neno maarufu kwenye mawazo yako. Si salama sana kwa afya ya akili.Sijui inaashiria nini..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina ashiria kwamba limekutawala na ndilo neno maarufu kwenye mawazo yako. Si salama sana kwa afya ya akili.Sijui inaashiria nini..
Naomba Tazama haka ka video. Wakati unatazama chukua na soda moja nakuja kulipa
Dawa yenu ni hii hapa, mkiendelea kupiga kelele ataongea na Mungu tena.
Naomba Tazama haka ka video. Wakati unatazama chukua na soda moja nakuja kulipa
Kwani we limekutawala kichwani kwako? Unahitaji msaada wa kisaikolojia?Ina ashiria kwamba limekutawala na ndilo neno maarufu kwenye mawazo yako. Si salama sana kwa afya ya akili.
Wewe unahangaika na key board Polepole anatembea na V8 na anasubiri ku upgrade zaidi wakati wewe hata kiatu cha asante Ulaya kinakushinda unavaa mapira ya gari😧😧Unahamisha maada na magoli
Pole
Ndio maana mpo mlipo leo
Hamna sehemu wametaja mauaji, usitunge story yakoSerikali imeombwa na wenzao wa Canada kuwa wachunguze na kuchukua hatua za mauaji yaliyotokea ww unasema hutaki ushoga. What is wrong with you?
Ukimya wa viongozi wa nchi wa zamani unatia mashaka sana juu ya uadilifu wao.Nchi haina the elders?
Hadi nchi zingine ziseme?
Wewe unahangaika na key board Polepole anatembea na V8 na anasubiri ku. Upgrade zaidi wakati wewe hata kiatu cha asante ulaya kinakushinda unavaa mapira ya gari😧😧
Naomba Tazama haka ka video. Wakati unatazama chukua na soda moja nakuja kulipa
Napigania kuyandosha hayo majambazi mafiaNa wewe je? Ebu jielezee
Napigania kuyandosha hayo majambazi mafia
V8 ya kazi gani wakati watu hata maji ya kunywa hawana?Vizuri, una V8?
Alafu wewe kapuku,utanufaika na nini?Magu atengwe kimataifa.
Watu hawana,au wewe ndo hauna🤔?V8 ya kazi gani wakati watu hata maji ya kunywa hawana?
Mbona wewe haujauwawa?Kwa hiyo wasiseme kuhusu watu kuuawa? Kweli kuna shida sehemu.
Tena kama wewe ndo usiongee kabisa😂😂, wewe hata ukikabidhiwa kwangu unanyooka vizuri tu.Hakuna shida. Nimesema nimejiandaa kwa risasi
Watu hawana,au wewe ndo hauna🤔?
Sio mm niliyeleta mada hiyo kwenye mada inayohusu jambo jingine.Kwani we limekutawala kichwani kwako? Unahitaji msaada wa kisaikolojia?