Uchaguzi 2020 Canada wataka uchunguzi ufanyike dhidi ya waliokiuka haki za binadamu katika Uchaguzi Mkuu 2020

Uchaguzi 2020 Canada wataka uchunguzi ufanyike dhidi ya waliokiuka haki za binadamu katika Uchaguzi Mkuu 2020

Canada inaomba serikali ya TZ ijuchunguze yenyewe.. ah ok!
 
hivi hawa mbuzi si ndio walishirikiana nao kipindi kile cha makinikia na ndege zetu za dreamliner? yaani wote watakuwa uchi safari hii, kila aliyekuwa nyuma ya hawa wahuni atajulikana. Namkumbuka mzee wa upepo ukipuliza sana tunaona nyuchi za kuku..... Kenge kabisa hawa, hii ni nchi huru wasisahau....
Uwiii haya
 
Usitegemee wote tuwaze kama nyie.
Pole. Kujua unawaza na kutenda vema ama vibaya ni pale, madhara ama mafanikio ya kuwaza na kutenda kwako yanapokufika ama kuyapata. Kwa hiyo, twangoja kuona madhara ama mafanikio ya kuwaza kwenu na kutenda. Ila ujue tu kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa madhara kwa walio wengi kuliko mafanikio kwa wachache wenu kama mtaendelea kuwaza na kutenda namna hii.
 
Mdogo mdogo tutaheshimiana.
UPINZANI KAZENI.
Bora tuishi Kama Zimbabwe ya Mugabe.
 
Wewe cheka tu, tutalimia wote meno.
Mbinyo unakuja upinzani wakikomaa mjue mtafungiwa kila mahali hapo sasa ndo tunaiona Zimbabwe ya Mugabe.
Yap watoematamko mfululizo kutuliza jazba za makamanda wasituletee fujo.
 
Mabeberu wamechanganyikiwa. Mpaka sasa hawaamini kuna mtu wao chalii.
Badala ya kuhurumia Watanzania wenzako waliouawa na kuumizwa kwa uroho wa madaraka, wewe unaongelea mabeberu. Yaani wanasiasa wanawalisha neno mnalimeza zima zima mnabaki kucheua tu. Siasa za Afrika si za kushabikia angalia maisha tu, Hao wote ni magenge ya mbwa mwitu tu, wanatutafuna tu, miaka mitano itaisha hutoona cha maana,
 
Serikali imeombwa na wenzao wa Canada kuwa wachunguze na kuchukua hatua za mauaji yaliyotokea ww unasema hutaki ushoga. What is wrong with you?
Mkuu, humu kuna watu wanaishi kama roboti. Yaani walivyoambiwa na viongozi wao kuhusu ushoga na mabeberu wamebaki kwenye kila hoja wanataja hayo maneno mawili.
 
The Canadians must be confused, how can you tell the perpetrators of violence to investigate the very crime they've committed?
Canadians seem to be alien to Tanzania.
 
Hawa wazungu wanashangaza sana. Tukiwa kwao hawatupendi na wanatubagua kama watu weusi. Ndio waje kutupenda kwenye chaguzi zetu? Yaani mzungu ye anawazaga maslahi yake tu, inaumiza sana kuona watu wetu hawawezi kujifunza kupitia historia au kupitia uzoefu.
 
Disturbed by reports of arrests and violence against political candidates and supporters. Protection of civilians is essential for peace and stability. Canada calls on the government of Tanzania to investigate and prosecute those who have violated human rights.

Lissu chaliii...
Mabeberu wamepoteana huko wanaruka na kukanyagana...
 
Back
Top Bottom