Kwahiyo wale watu wanaokaa kwenye ndoa yao kwa muda ni kwamba hawana hizo aina ya force au ni vipi?
Na hizo forces ni zipi?
Mmh, huo urafiki wa mmoja kumla mwenzie kila siku siukubali
Siku moja moja na samaki amle paka basi
leo leo!leo hii mtasema yote!hapa enhe kumbe huwa mnatadikaga vitanda mara kumi kumi! The Boss thibitisha au kanusha usemi huu!Mkuu ila nyingine ni beyond kujiendekeza au kuigiza....
Hivi ina maana wewe hujawahi kutandika kitanda mara kumi kumi au kudeki room kama mara 3 hivi ndani ya lisaa limoja kisa, una appointment??
Yaani damu inazunguka utadhani mwilini una mapipa kama mawili hivi....lol!!
Ni tamu ila sasa ni deadly....
Babu DC!!
hiv huwa ni halucinationa enh!
mwee mi cudnt think of it tht way!
tunahalucinetikaaaje saaasa!
Maana ni maana tu kwani hamna maana moja, kila mmoja huchukua jambo la kuliweka kwenye mfumo wake wa akili huku akilitafakari na kupata maana yake, ndo maana tukapewa muda wa kifikiri na kutoa mawazo yetu.
kuna watu nawafahamu, juzi tu hapa naona kama wamerudi kwenye u-teen..... na ni wazee wazimaaaaa....... chezea mapenzi wewe, lol!Mkuu we acha aisee....
Tena kama penzi lenyewe bado ni bichi kama embe dodo la Chalinze....acha utani aisee...
Unaiona dunia yote yako kama mtoto wa F2 anavyoonaga hakuna msomi duniani....
The good thing ni kwamba hiyo halucination haidumu sana...vinginevyo tungeshakuwa machizi..
Babu DC!!
Mi hapo tu ndo unanikosha huwa unabisha weee ukifika sasa wakati wa kutoa mifano hai! uuuwih!Acha uchokozi mdodo wangu wewe,
Hivi hujawahi kuwa unatembea barabarani halafu kila mtu mwenye umbo kama lake akiwa mita kama 200 hivi ukaribia kumkimbilia??
Inakuwa kama macho yanaumwa parallax!!
Babu DC!!
leo leo!leo hii mtasema yote!hapa enhe kumbe huwa mnatadikaga vitanda mara kumi kumi! The Boss thibitisha au kanusha usemi huu!
Mkuu we acha aisee....
Tena kama penzi lenyewe bado ni bichi kama embe dodo la Chalinze....acha utani aisee...
Unaiona dunia yote yako kama mtoto wa F2 anavyoonaga hakuna msomi duniani....
The good thing ni kwamba hiyo halucination haidumu sana...vinginevyo tungeshakuwa machizi..
Babu DC!!
wacha kabisa!KIPYA KINYEMI babu!Hahahahahahahahah,
Leo na ona unakuwa kama mtoto mdodo....!! Kwani haya ni mageni kwako??
Kwani hujawahi kuwa na jamaa ambaye siku ya appointment anafikia hatua ya kuazima kila kitu isipokuwa boxer na socks??
Halafu anakubadilishia perfume za kichina kila appointment...siku ukifika kwake hata kopo moja hakuna....
Chezea pressure ya kum-impress mtoto mupya mupya...it is too much to bear!!
Babu DC!!
Nani kasema niko harmless??
Nitampiga hata na kikombe kama sina nguvu
You have been warned!
Uamnifu na upofu ni vitu viwili tofauti kabisa...
Cheating ni supernatural process inayojitegemea na ina forces zake ambazo hazina uhusiano na upeo wa mapenzi...
Wapo watu ambao hawaambiwi kitu kwa wapenzi wao ila bado wanacheat....
Ngoja nikuitie wazee wenzangu Asprin na Kaizer wakupige shule zaidi...
Babu DC!!
Mimi mwenyewe,
Retired Maj Gen DC (1947)...dc@jamiiforums.com
Babu kumbe penzi jipya tamu enh?
Nadhani na upofu unakuwa mwingi kwenye hii stage..lolz
As time goes on kipofu anaona...