Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Kwahiyo wale watu wanaokaa kwenye ndoa yao kwa muda ni kwamba hawana hizo aina ya force au ni vipi?
Na hizo forces ni zipi?
Tumekaaa hadi tumezeeka na kustaafu,
But believe me, forces za kukuvuta ukachomoke ni kali sana na unahitaji nguvu za ziada kuzishinda...
Kama unataka kujaribu....karibu darasani...tunawachapa shule watu ambao wako dedicated na wanatamani kustaafu salama kama sie...
Utaweza?
Babu DC!!