Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Can't you Love Someone with all your eyes Clear?

Kwahiyo wale watu wanaokaa kwenye ndoa yao kwa muda ni kwamba hawana hizo aina ya force au ni vipi?
Na hizo forces ni zipi?

Tumekaaa hadi tumezeeka na kustaafu,

But believe me, forces za kukuvuta ukachomoke ni kali sana na unahitaji nguvu za ziada kuzishinda...

Kama unataka kujaribu....karibu darasani...tunawachapa shule watu ambao wako dedicated na wanatamani kustaafu salama kama sie...

Utaweza?

Babu DC!!
 
Mmh, huo urafiki wa mmoja kumla mwenzie kila siku siukubali

Siku moja moja na samaki amle paka basi

Hahahaha haiwezekani....wapo kwenye different 'trophic levels" so lazima mmoja aliwe..u wanna re-envent the wheel Kongosho?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ila nyingine ni beyond kujiendekeza au kuigiza....

Hivi ina maana wewe hujawahi kutandika kitanda mara kumi kumi au kudeki room kama mara 3 hivi ndani ya lisaa limoja kisa, una appointment??

Yaani damu inazunguka utadhani mwilini una mapipa kama mawili hivi....lol!!

Ni tamu ila sasa ni deadly....

Babu DC!!
leo leo!leo hii mtasema yote!hapa enhe kumbe huwa mnatadikaga vitanda mara kumi kumi! The Boss thibitisha au kanusha usemi huu!
 
Last edited by a moderator:
hiv huwa ni halucinationa enh!
mwee mi cudnt think of it tht way!
tunahalucinetikaaaje saaasa!

Acha uchokozi mdodo wangu wewe,

Hivi hujawahi kuwa unatembea barabarani halafu kila mtu mwenye umbo kama lake akiwa mita kama 200 hivi ukaribia kumkimbilia??

Inakuwa kama macho yanaumwa parallax!!

Babu DC!!
 
I seconded your idea for expanding the dialogue buddy..sikuwa na maana kwamba tujifunge kwenye perspective moja...ndiyo maana nikasema nakushukuru kwa kupanua mjadala...

Maana ni maana tu kwani hamna maana moja, kila mmoja huchukua jambo la kuliweka kwenye mfumo wake wa akili huku akilitafakari na kupata maana yake, ndo maana tukapewa muda wa kifikiri na kutoa mawazo yetu.
 
Mkuu we acha aisee....

Tena kama penzi lenyewe bado ni bichi kama embe dodo la Chalinze....acha utani aisee...

Unaiona dunia yote yako kama mtoto wa F2 anavyoonaga hakuna msomi duniani....

The good thing ni kwamba hiyo halucination haidumu sana...vinginevyo tungeshakuwa machizi..

Babu DC!!
kuna watu nawafahamu, juzi tu hapa naona kama wamerudi kwenye u-teen..... na ni wazee wazimaaaaa....... chezea mapenzi wewe, lol!
 
Acha uchokozi mdodo wangu wewe,

Hivi hujawahi kuwa unatembea barabarani halafu kila mtu mwenye umbo kama lake akiwa mita kama 200 hivi ukaribia kumkimbilia??

Inakuwa kama macho yanaumwa parallax!!

Babu DC!!
Mi hapo tu ndo unanikosha huwa unabisha weee ukifika sasa wakati wa kutoa mifano hai! uuuwih!
yani usinichekshe mambo ya kukimbilia watu haaya unaweza kuona mpaka rangi ya shati ni yenywe!wacha tu babu!
 
leo leo!leo hii mtasema yote!hapa enhe kumbe huwa mnatadikaga vitanda mara kumi kumi! The Boss thibitisha au kanusha usemi huu!

Hahahahahahahahah,

Leo na ona unakuwa kama mtoto mdodo....!! Kwani haya ni mageni kwako??

Kwani hujawahi kuwa na jamaa ambaye siku ya appointment anafikia hatua ya kuazima kila kitu isipokuwa boxer na socks??

Halafu anakubadilishia perfume za kichina kila appointment...siku ukifika kwake hata kopo moja hakuna....

Chezea pressure ya kum-impress mtoto mupya mupya...it is too much to bear!!

Babu DC!!
 
Babu kumbe penzi jipya tamu enh?
Nadhani na upofu unakuwa mwingi kwenye hii stage..lolz
As time goes on kipofu anaona...

Mkuu we acha aisee....

Tena kama penzi lenyewe bado ni bichi kama embe dodo la Chalinze....acha utani aisee...

Unaiona dunia yote yako kama mtoto wa F2 anavyoonaga hakuna msomi duniani....

The good thing ni kwamba hiyo halucination haidumu sana...vinginevyo tungeshakuwa machizi..

Babu DC!!
 
hahahaha haiwezekani....wapo kwenye different 'trophic levels" so lazima mmoja aliwe..u wanna re-envent the wheel Kongosho?
Kaizer kwani na wewe hupati halucinations?nauliza tuu ayni kimfano unaona gauni lile huwa huhisi ni la sweetlo wako?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahah,

Leo na ona unakuwa kama mtoto mdodo....!! Kwani haya ni mageni kwako??

Kwani hujawahi kuwa na jamaa ambaye siku ya appointment anafikia hatua ya kuazima kila kitu isipokuwa boxer na socks??

Halafu anakubadilishia perfume za kichina kila appointment...siku ukifika kwake hata kopo moja hakuna....

Chezea pressure ya kum-impress mtoto mupya mupya...it is too much to bear!!

Babu DC!!
wacha kabisa!KIPYA KINYEMI babu!
oh!
chezeya kununua white pants wewe!uuwih!kumbe zote hizo ni halucinations!daaaamn tumetoka mbali sana i see!wacheni vijana tu wawehuke!OH NIMEMPATA WA KUFANANA NAE!chezeya kuhamishiwa goli wewe!sosi The Boss
 
Last edited by a moderator:
I wish I could

LAkini ndo basi tena, samaki aliwa tuuu, na magamba mwampara, pande mbili mwamgeuza lol!!

hahahaha haiwezekani....wapo kwenye different 'trophic levels" so lazima mmoja aliwe..u wanna re-envent the wheel Kongosho?
 
Uamnifu na upofu ni vitu viwili tofauti kabisa...

Cheating ni supernatural process inayojitegemea na ina forces zake ambazo hazina uhusiano na upeo wa mapenzi...

Wapo watu ambao hawaambiwi kitu kwa wapenzi wao ila bado wanacheat....

Ngoja nikuitie wazee wenzangu Asprin na Kaizer wakupige shule zaidi...

Babu DC!!

Mzee mwenzangu Dark City huyu saudari bado mdogo akifika madarasa ya juu ndo tutaingia kipindi kumfundisha sasa hivi walimu wake ni @mzabizabi and Co lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom