cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Duuuuuh hali ni mbaya kwa kweli loo,Na usijidanganye eti mtu upime nae kwa siku moja tu inatosha kwenda peku watu wengi wameangamia hapo..inapaswa mpime walau mara 3 kwa muda wa miezi 3 wengine huwa kwenye window period