Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Kuna mbongo movie mmoja sasa hivi kajikita kwenye ushonaji wa nguo.Miaka ya nyuma Kipindi yupo kambini room walikuwa wanakaa watatu watatu watu waliona ARV kila mtu alizikataa sio zake.

Baadaye akaweka masharti ukimtaka kwenye movie yako basi sharti umpe chumba chake mwenyewe.Wasanii wetu wawili wakubwa washapita,yule mtangazaji aliyepewa kijiti na Salama nae kapiga,waziri mkuu wa awamu ya 4 nae kapiga.

Sasa hivi kahamia kwa vijana wadogo wenyewe wanajiona wanapendwa kumbe wanaunganishwa kwenye mtandao.
Yule mwenye pengo[emoji30][emoji45]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzoni ni mateso mpaka uzoee shuguli...halafu kwa hali ya kawaida maisha ya kumeza dawa kila siku ni mateso
Mateso makubwa kumbe!! Mie sipendi kunywa dawa kabisa hata panadol au Hedex sitaki kunywa!! Ndio maana najitahidi sana kujiepusha na matumizi ya dawa kwa kujikinga!!
 
Ni kweli mtu anayetumia dawa kwa usahihi ngumu kuambukiza..naomba uelewe anayetumia dawa kwa usahihi na sio anayetumia tu ilimradi.
Sema ngoma haiambukizi kama magonjwa ya zinaa,pia hao wanaokula njugu nasikia wana asilimia ndogo sana za kuambukiza wengine..
Ukimwi sijui una siri gani,nina ndugu yangu aliuguza mkewe mpaka akafa,pia wana kijana wa miaka 21 sasa alizaliwa nao,afya yake sio njema sana ila yupo anakula dawa.
Kipindi huyo ndugu yang walipogundua mkewe ameukwaa yuko kwenye hali mbaya,yeye akagoma kupima,alikua mtulivu sana tena mzee wa kanisa,Gafla akawa malaya mbwa,miaka zaidi ya saba anatembeza dudu,siku akaumwa,wachaga wakamkomalia lazima apime wajue hali yake,alipima zaid ya mara 8 yuko safi.

Sasa nashanga mpaka mtoto kazaliwa nao,mke kafa ila jamaa hana,ajabu sana.
 
[emoji3550] n ndefu mnooooh tena inaogopesha hatareeeh, khaaaah ukweli lazima usemwe, 85% ya wasanii wetu (bongo [emoji2427] + [emoji331]) wapo kweny Grid ya Taifa.

TACAIDS inabidi wawaongeze kwenye makundi hatarishi kwa maambukizi ya Ukimwi.

Makundi yaliyopo kwa sasa ni pamoja na:

1. Wauza baa
2. Madereva wa Masafa marefu
3. Wavuta madawa ya kulevya
4. .....

Sasa waongeze kundi lingine la

5. Bongo Muvi

6. Bongo fleva

7. N.k
 
Sema ngoma haiambukizi kama magonjwa ya zinaa,pia hao wanaokula njugu nasikia wana asilimia ndogo sana za kuambukiza wengine..
Ukimwi sijui una siri gani,nina ndugu yangu aliuguza mkewe mpaka akafa,pia wana kijana wa miaka 21 sasa alizaliwa nao,afya yake sio njema sana ila yupo anakula dawa.
Kipindi huyo ndugu yang walipogundua mkewe ameukwaa yuko kwenye hali mbaya,yeye akagoma kupima,alikua mtulivu sana tena mzee wa kanisa,Gafla akawa malaya mbwa,miaka zaidi ya saba anatembeza dudu,siku akaumwa,wachaga wakamkomalia lazima apime wajue hali yake,alipima zaid ya mara 8 yuko safi.

Sasa nashanga mpaka mtoto kazaliwa nao,mke kafa ila jamaa hana,ajabu sana.
Huu ugonjwa nao saa nyingine@Deception huwa ana point saa nyingine confusions sana
 
We acha tu tatizo ukiendekeza tamaa ya pesa,ile TAMAA yako inafunika hata UTU wako,unashindwa hata kutumia akili yako ndogo ya kutumia kinga,ili ulinde afya yako.

Na sisi wanawake tukiona tako akili ishavurukiga,mamlaka na akili ina kuwa controlled na kichwa cha chini.

Mimi mtaa ninao toka hadi huruma,watu wanausambaza maksudi kwa vibinti vya O-Level,nilimpaga darasa mdogo wangu wa kike sijui kalielewa au ndio kichwa kigumu sijui we acha.

PESA na MATAKO zitawaua wengi sana.
Halafu sikuhizi watoto wa primary, secondary ndo wanao Sana huu ugonjwa Mana wanarubunika kiurahisi Sana Kuna siku niliandika watu wakanitolea povu. Watu wengine wanafikiria wale watoto ni salama kumbe wanatumika na wengi. Hali ni tete
 
Si support hayo uliyosema kwamba watu wachapane/wakulane kwasababu ya arv ila ARV ni noma kuna Sister alipata ngoma ilikuja kugundulika mwaka 2003 ila inaonekana aliambukizwa na mumewe around 2000 ,sasa nikaja kumuona 2004 anaumwa ni nomaaaa na nusu ,alikuwa na madonda mdomoni na puani halafu amekonda kalala yaani yupo flat kama godoro ila baada ya kuanza kula ARV yaani ni shida yupo ng'ari ng'ari ukikaa nae wewe ambaye hauna ngoma ndio unaonekana unao!!

Upo kamanda
 
Halafu sikuhizi watoto wa primary, secondary ndo wanao Sana huu ugonjwa Mana wanarubunika kiurahisi Sana Kuna siku niliandika watu wakanitolea povu. Watu wengine wanafikiria wale watoto ni salama kumbe wanatumika na wengi. Hali ni tete
Watoto wa O Level tokea zamani hawako salama,kuna kipindi nilikuwa napiga tempo 2016
huko kwenye Minara ya simu Chanika,Kisarawe,Twangoma,Mbagala,Mvuti yaani wale wanafunzi wa shule za kata madereva wa bodaboda wana watafuna sana,kule usafiri wa shida basi lazima wajirahisishe.

Nimeshudia wakitomaswa na wengine wakigongwa acha tu,tuombe Mungu.
 
Back
Top Bottom