Cappuccino Tunda kapatwa na ugonjwa gani?

Na usijidanganye eti mtu upime nae kwa siku moja tu inatosha kwenda peku watu wengi wameangamia hapo..inapaswa mpime walau mara 3 kwa muda wa miezi 3 wengine huwa kwenye window period
Duuuuuh hali ni mbaya kwa kweli loo,
 
Dar hapa wilaya ya temeke ndio kinara kuna rafiki yangu mmoja yupo hospital moja ana deal na mambo ya HIV guiding and counceling anasema hali ni tete kipande hiyo
 
Hali ni tete sana
 
Wabongo bana Kuna magonjwa hatari Kama kansa au homa ya ini , kisukari na kufeli kwa Figo ndio magonjwa mnapaswa kujiepusha nayo na sio Huo upuuzi eti HIV ... Hizo ni biashara za watu.Ukimwi kila mtu anao.. Kwani nani Hana ukimwi !! Nani Kinga zake huwa hazishuki ? Hata stress zinashusha kinga Sasa mnashangaa Nini.


Achaneni na huo utumwa wa wazungu kuwageuza soko la hizo ARVs zao zinazoenda kuharibu Figo, ini na kusababisha kansa ya shingo ya kizazi kwa wanawake (cervical cancer). Ukifuatilia watu wote wanaotumia ARVs mwisho wa siku hufa na moja ya hayo magonjwa.

Kwa hizi network zilizotajwa humu Kama kweli kungekuwa na uhalisia wa huo upuuzi HIV Basi nchi nzima ingekuwa na waathirika wa ukimwi maana ni nadra kwa mwanaume kuwa na mwanamke mmoja. Halafu hivi tangu lini Kinga zangu kuwa chini zinaweza kumuambukiza mtu mwingine ???

Hivi mnajua stress zinashusha kinga ? Sasa nitawezaje kumuambukiza mtu mwingine mwenye Kinga na mzima kabisa !!! ... Mambo mengine sio mpaka muende vyuon tumien common sense


Acheni ngono zembe msije kupata homa ya ini na magonjwa mengine na sio eti HIV ... Hakuna hicho Kitu guys. Mnateketea kwa kukosa maarifa.
 
Yaaaan kizazi kinateketea lol, hadi inaogopesha kwakweli.
 
Dah huu uzi nimesoma comments zote dah, ila hata haya matamasha ya muziki nahisi yanachangia sana hii mambo. Hali inatisha
 
Halafu sikuhizi watoto wa primary, secondary ndo wanao Sana huu ugonjwa Mana wanarubunika kiurahisi Sana Kuna siku niliandika watu wakanitolea povu. Watu wengine wanafikiria wale watoto ni salama kumbe wanatumika na wengi. Hali ni tete
Hapo sasa nna rafiki zangu wawili, wanatoka na vibopa wastaafu yaan hadi nawaonea huruma mweeeeeeeh, maan wanaonesha kabisa wamesha expire, sema pesa zinawazuzua uwiiiiiiih [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
The same to me [emoji3][emoji85]
 
Dah huu uzi nimesoma comments zote dah, ila hata haya matamasha ya muziki nahisi yanachangia sana hii mambo. Hali inatisha


Kabisa!

Kila alichokataza Mungu mara nyingi mwanadamu akikifanya kinaweza kuwa na madhara including muziki wa kidunia!

Muziki na Pombe vinachangia sana katika ushawishi wa vitendo vya ngono.

Ndiyo maana wazazi ukiweza kumlea mwanao achukie kunywa pombe na kuchukia miziki ya know dunia itakuwa ni hatua mojawapo Nzuri ya kushinda vishawishi.
Sisemi kuwa wasiokunywa pombe wao hawawezi kupata maambukizi la hasha nao wanaweza kupata kama wakiendekeza umalaya yaani tabia za uzinzi na uasherati.
 
Hapo sasa nna rafiki zangu wawili, wanatoka na vibopa wastaafu yaan hadi nawaonea huruma mweeeeeeeh, maan wanaonesha kabisa wamesha expire, sema pesa zinawazuzua uwiiiiiiih [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Watu wanajali pesa kuliko afya zao kikubwa wao hela eti atleast aishi vizuri miaka michache
 
Kuhus vanessa hadi dakika hii kwa 90% naweza sema hayupo ndani ya attendace,


Sema pia kuna watu wengine wanatembea na watu kwa siri, Yani ukiachilia mbali wale wanajionesha nao lakini kuna wale wa kupita au wale siri au wale ambao mtu anakutana nao anaposafiri au anapoenda maeneo fulani.

Yani binadamu siyo kumlia yamini hususa kwenye mambo kama Haya maana vitendo hivyo hufanyika sirini mara nyingi usiku.

Biblia inasema: mambo yafanyikayo gizani ni aibu hata kuyanena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…