Tajirilakichaga
Senior Member
- Nov 22, 2014
- 160
- 53
poleni sana ndugu zangu wa chiwindi, upale,ng'ombo, chimate, kwambe, mtipwili, chiulu,ndengele,chinula,kilosa, kwa msiba wa ndugu etu. BAMBO AKOMBA MUENDE PAMTENDELE ULENDO WA KUMWAMBA. AMEN.
Nimestushwa sana na taarifa ya kifo cha ghafla cha Mhe Capt John Komba Mbunge wa Nyasa. Taifa limepoteza kiongozi asiyeyumba katika yale yote aliyokuwa anayaamini! Chama kimempoteza mkereketwa wa kweli na Chiriku nambari one wa CCM. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Membe.
Inasemekana Mh.Komba alimtungia Mwalimu Nyerere nyimbo kabla ya kufariki
Nimecheka hadi watu wakageuka kuniangalia manake hawakujua kama nadurusu JF! Kwamba Mungu kaamua kumtolea tamko kama alivyosema kwamba wamtolee tamko Mzee Waryoba!alimtukana mzee wangu warioba.............Nadhani Mungu Ameamuamua kumutolea tamko.
Ametangulia kuandaa makao ya CCM.
Naungana nanyi watani katika kuomboleza msiba huu.Nyimbo zako ni ukumbosho kwa siasa zetu . Lowassa atahuzunika pia