Huu ni muda muafaka kwa sisi tuliobakia hai tuendende na kufanya mema yale Mwenyezi Mungu anayopendezwa nayo.Ndugu yangu husidanganyike na mali za Dunia,dhahabu za Dunia ,vyeo na madaraka ya Dunia.Tujitahidi kweli mahangaiko yetu ya kila siku kumtanguliza Mungu.Kwani Mungu kwa imani yangu ni UPENDO.Tubadilike na kuangalia watanzania wanataka nini na sio ushabiki bila kuangalia ukweli.Simama kwenye ukweli na Mwenyezi Mungu atatuma malaika wake hapo siku ya mwisho waje na kukupongeza na kukupeleka kwenye mangojeo yaliyowekwa kwa ajili ya watenda mema.Tubadilike na tuache legacy nzuri nyuma.RIP JOHN KOMBA.MUNGU NDIE ANAYEJUA NA ATAKAYE HUKUMU KWA HAKI.AMEN