TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Na alaaniwe mtu ambae hawaheshimu wazee wake
Na alaaniwe mtu ambae anajiona yeye ni bora kuliko wananchi wote
Na alaaniwe mtu yeyote anaewaibia wanachi
Na alaaniwe mtu yeyote ambae 10M kwake ni ya mboga ya siku
Na alaaniwe anaechakachua katiba ya wananchi
Na alaaniwe mtu yeyote anaejiona atakaa madarakani /kutawala milele
 

Na asilaaniwe mtu ambae anatumia m10 per day kama ametafuta kwa jasho lake .
 
Mungu amlaze pahala panapomstahiki ,na sijui yale madeni ya crdb yanaweza kuwa chanzo cha shambulizi la moyo?oh mzee warioba tafadhali msamehe huyu kwa zilee kauli zake kuhusiana na umauti kwani ametangulia yeye!
 
RIP captain mwenyezi Mungu akufanyie wepesi huko uendako,binadamu sisi hakuna alie msafi!
 

Kazaliwa 1954
 
Ndo utabiri wa yule shehe alisema mwaka huu kuna kiongozi mkuu atakufa.
 
Mungu baba tusamehe sisi waja wako, maana hatuujui muda uliotupangia tunapiga makelele, matendo yetu hayakupendezi hata kidogo tunakuomba ututazame kwa jicho la huruma, mpokee mja huyu na umsamehe alipokosea maana kwako hakuna kinachoshindikana.Pengine yeye zambi zake alizifanyia uwani zikaonekana sisi zetu tunafanyia chumbani hazionekani lakini kuna tuliothubutu kumnyoshea kidole mtu huyu.
 
tumia akili wewe,hilo sio andiko la Mnyika,limeandikwa na rafiki wa Mnyika kwenye wall yake.mf.baadhi up.pu unaandikwa humu anaandikwa na Max?

Akili ataitoa wapi huyo EL Team 2015 , bandiko dogo tu limewekwa na Chapty Junior kwenye wall ya John Jonh Mnyika ameshamuukumu Mnyika kwamba ndio ameliandika.
 
Ikiwa mpaka muda huu hujala ban, wewe kidume! Kunatembezwa ban balaa humu. Mpaka sasa kama 150 wapo lupango
 
Picha msibani.

Msiba upo Mbezi Beach Tangi Bovu,Kuna kituo maarufu kama Kwa Komba.


Mh. Lukuvi akimfariji mke wa Marehemu Komba, Bi Salome Komba


Khadija Kopa akilia kwa Uchungu nyumbani kwa Komba.


Mh. Sugu, Lukuvi na Lema wakiwa msibani nyumbani kwa marehemu Komba.
 
Ninapozisoma hizi comment za wadau, nyingi zimejaa chuki na husda...

Je! Komba alikuwa anatambua jinsi watu walivyokuwa wanamchukulia????..

Ni vyema tuishi maisha yampendezayo mungu ili pindi tutakapoiaga dunia tusemwe vizuri...

Nafasi tulizonazo zisiwe sababu za kuwanyanyasa wanyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…