Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na alaaniwe mtu ambae hawaheshimu wazee wake
Na alaaniwe mtu ambae anajiona yeye ni bora kuliko wananchi wote
Na alaaniwe mtu yeyote anaewaibia wanachi
Na alaaniwe mtu yeyote ambae 10M kwake ni ya mboga ya siku
Na alaaniwe anaechakachua katiba ya wananchi
Na alaaniwe mtu yeyote anaejiona atakaa madarakani /kutawala milele
Marehemu Kaptain Komba alizaliwa Marchi 18 mwaka 1945 alipata elimu ya msingi huko nchini Tanzania katika shule ya Lituhi baadae elimu ya sekondari katika shule ya sekondari ya Songea iliyopo kusini mwa Tanzania kuanzia 1971 hadi mwaka 1974.
Mwaka 1975 hadi mwaka 1976 Marehemu John Komba alijiunga na chuo cha ualimu kilichopo Kleruu Iringa, Kusini Magharibi mwa Tanzania ambapo alihitimu cheti cha ualimu.
Marehemu John Komba ni mwanajeshi ambaye alipata mafunzo ya uafisa wa Jeshi katika chuo cha Maafisa wa Jeshi kilichopo Monduli kaskazini mwa Tanzania mwaka 1977 hadi mwaka 1978.
Keptain John Komba pia alipata mafunzo mengine ya siasa kutoka chuo Kikuu cha Washngton International ambapo alitunukiwa shahada ya siasa mwaka 2006 hadi mwaka 2008.
Chanzo: BBC
kwani ile nyumba iliuzwa kwa mnada kweli
kwani ile nyumba iliuzwa kwa mnada kweli
Lukuvi ndo amevaa kihunilema amevaa kihuni sana
tumia akili wewe,hilo sio andiko la Mnyika,limeandikwa na rafiki wa Mnyika kwenye wall yake.mf.baadhi up.pu unaandikwa humu anaandikwa na Max?
Ikiwa mpaka muda huu hujala ban, wewe kidume! Kunatembezwa ban balaa humu. Mpaka sasa kama 150 wapo lupangoKubwa ambalo limemteketeza ni Deni la Benk ambalo limetokana na Komba kuacha kulipa kisha akaamua kumjengea nyumba Lulu na kuwa busy kugharamiwa kwa kila kitu na kusahau familia yake, jimbo lake na majukumu muhimu, Lulu ni Sehemu ya kifo chake kwani siku zake za mwisho alikuwa na mawazo mengi sana.
Kweli mkuu...