Kwa kutambua mchango wa hayati capt.Komba kwa Taifa na Afrika kwa jumla,ni vyema channel ya TBc ioneshe live
Shughuli zote za mazishi za msiba wa capt.Komba
Lowassa anautumia msiba kufanya kampeni aisee.huyu mtu ni wa kumuogopa Kama ukoma.
Naona TeamEL katika umoja wao, mtu wenu asipopitishwa huko magambani karibuni UKAWA mhesabiwe.
Kwa hiyoooo wewe ulikua una ROPOKA TUU?!?!? bila kuogopaa?!?! Ubaya huo binadamu wewe .... Kwann lakin kujipa dhambi ya kusema vitu uvijui?!
Na walio vurugwa kama wewe....
Uogaaaa una wasumbuaa .... Hapo ajapiga campaign.... Kaenda msiban.... Jaman viongozi wana zaliwaaaa msikurupukeee
Kweli hata sisi tunajua ananguvu yakumaliza mali ya hii nchi nakuacha wananchi kwenye hali mbaya shukrani ya peke nikutaka urais amalize na kile kilichopo say no to El weka mbali na watanzaniaTulieni dawa iwaingie, kutokana na nguvu alizonazo Mhe. Lowassa kila afanyacho ni habari, habari ya safari ya matumaini ni lazima ivume pande zote na watu kama nyinyi mzisikie na msimame muhesabiwe.
Hivi nyie viumbe mnaopenda kuf unikwa kwa zege hivi siku ya mwisho kama siku ya mwisho unatakiwa utoke mwenyewe kwenye kaburi itakuwaje muwaambie kabisa wawazike na sururu na matindiu.
Na wewe anzisha wako kama wa Lowassa kwenda msibani umekupa shidaa....
mdetichia usiogope. Siku ya mwisho itakuwepo tu ila, nadhani kazi ya kufukua haina mjadala. Hujui hakuna anayetaka kunukia wengine? Mbona udongo unaowekwa juu yako ni tani 7. Wadhani ni rahisi mtu kuufukua atoke? Hata mbegu ya mgomba ikifukiwa chini ya zege hupasua na kutoka sembuse miye. Ntatoka tu
Kama ni kweli basi ni pigo kubwa sana
Viongozi wote wanaofika msibani waanzishiwe threads JF...itakua poa sana.
Leo....nataka nipeane mkono na huyu fisadi...nimvute kamkonoo.....nipime kiwango chake cha kupoozaaa......nipo hapa msibaniiiBashe nae ni mheshimiwa?
Umaarufu wa mtu.
Mungu akulinde Mh.Lowassa, Watanzania tulio wengi bado tunaamini wewe ndio tumaini letu lijalo!