TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Kwa kutambua mchango wa hayati capt.Komba kwa Taifa na Afrika kwa jumla,ni vyema channel ya TBc ioneshe live

Shughuli zote za mazishi za msiba wa capt.Komba

Acha basi hizo?? Ni mchango gani kaufanya kwa Taifa? Hivi mbona mnajivua ufahamu? Huyu katoa mchango kwa chama cha wezi Ccm na sio kwa Taifa. Ati wapinzani tuwachinje tuwatupe!! Sasa yeye ni wakutupwa. TBC siyo ya Ccm ni ya Taifa. Hastahili kuonyeshwa. Labda kama Uhuru na Mzalendo wana TV warushe
 
Tulieni dawa iwaingie, kutokana na nguvu alizonazo Mhe. Lowassa kila afanyacho ni habari, habari ya safari ya matumaini ni lazima ivume pande zote na watu kama nyinyi mzisikie na msimame muhesabiwe.
Kweli hata sisi tunajua ananguvu yakumaliza mali ya hii nchi nakuacha wananchi kwenye hali mbaya shukrani ya peke nikutaka urais amalize na kile kilichopo say no to El weka mbali na watanzania
 
Hivi nyie viumbe mnaopenda kuf unikwa kwa zege hivi siku ya mwisho kama siku ya mwisho unatakiwa utoke mwenyewe kwenye kaburi itakuwaje muwaambie kabisa wawazike na sururu na matindiu.

mdetichia usiogope. Siku ya mwisho itakuwepo tu ila, nadhani kazi ya kufukua haina mjadala. Hujui hakuna anayetaka kunukia wengine? Mbona udongo unaowekwa juu yako ni tani 7. Wadhani ni rahisi mtu kuufukua atoke? Hata mbegu ya mgomba ikifukiwa chini ya zege hupasua na kutoka sembuse miye. Ntatoka tu
 
mdetichia usiogope. Siku ya mwisho itakuwepo tu ila, nadhani kazi ya kufukua haina mjadala. Hujui hakuna anayetaka kunukia wengine? Mbona udongo unaowekwa juu yako ni tani 7. Wadhani ni rahisi mtu kuufukua atoke? Hata mbegu ya mgomba ikifukiwa chini ya zege hupasua na kutoka sembuse miye. Ntatoka tu

Hahahaaaa haya bana
 
Kama ni kweli basi ni pigo kubwa sana

huyu muhamasiji ametangulia mbele ya haki katika kipindi ambacho CCM wanamuhitaji kweli kweli. RIP Capt Komba....nyumba zetu Sinza kule zimempoteza mteja muhimu
 
Mungu aliepusha asiingie msituni maana angetutoka kabla ya vita kuanza
 
TBC na wahusika wengine....tupeni nyimbo za Komba ambazo zimetoa mchango mkubwa sana kwenye uhamasishaji wa mambo mengi ya Taifa hili toka akiwa jeshini enzi za awamu ya kwanza
 
Ameondoka na ngoma(ukiacha ile ya TOT), siyo pressure wala nini,na alikuwa akiisambaza makusudi kwa watoto
 
Namwona.serukamba hapo akichuchumaa kwa heshima, mhhhh tutaona mengi
 
Back
Top Bottom