LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Kwa kutambua mchango wa hayati capt.Komba kwa Taifa na Afrika kwa jumla,ni vyema channel ya TBc ioneshe live
Shughuli zote za mazishi za msiba wa capt.Komba
Acha basi hizo?? Ni mchango gani kaufanya kwa Taifa? Hivi mbona mnajivua ufahamu? Huyu katoa mchango kwa chama cha wezi Ccm na sio kwa Taifa. Ati wapinzani tuwachinje tuwatupe!! Sasa yeye ni wakutupwa. TBC siyo ya Ccm ni ya Taifa. Hastahili kuonyeshwa. Labda kama Uhuru na Mzalendo wana TV warushe