Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kweli tunatembea tukiwa wafu...!!!!
Huyu mzee juzi hapa alidai ati kama katiba mpya itatumbua uwepo wa serikali tatu "Yupo tayari kuingia msituni kupigania serikali mbili"..
Tena juzi pale Songea akawaimbia ccm wimbo wa "kuwaaga" huku Kikwete akimsifu ati haishishiwi nyimbo...!!!!! Leo ndo hivyo tena..!!!
Nadhani mstuko wa kupigwa mnada nyumba na shule alizokuwa akimiliki zimechangia mzee kuondoka mapema... Aaaaah alale anapostahili....!!!!!!!!
BACK TANGANYIKA
kwani alikuwa na uhusiano na Lulu yule aliyemuua kanumba
Hii kitu mbaya sana!RIP mwanaccm damudamu.Pole sana familia yote na wana mbinga.TANZIA:
Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kapteni John Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam leo saa kumi jioni.
CCM na EATV(East Africa Television) Wameandika kwenye twitter yao.
Wacha niwe mnafiki kidogo....
RIP Komba, tutakukumbuka kwa maovu uliyokwisha yafanya nchi hii....
Ulisema chadema itakufa, ukasahau Mungu hadhihakiwi