TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Nape alisema kina warioba na wazee wa tume watakufa vipi mbona komba ametangulia?nape ametoa maoni gani juu ya kifo cha komba kufa kabla ya warioba?

Achana Na Nape! Unapoteza Muda Kumjadili Nape Kwa Iq Yake.
 
Mwaka huu nani atakaengoza choir ya chama chetu kwenye kampen jamani?kutakuwa hakuna wahudhuriaji,any way Mungu amlaze pema.
 
Mungu kamuwahisha nilipenda aishi maisha marefu aone majigambo yake kuwa yalikuwa si lolote wananchi tulikuwa tunamuona hana point alipoongea bungeni na pia ajue kuwa warioba hakuwa saizi yake. Ila kazi ua mungu haina makosa
 
Mininaweza kusema hata kama alifanya matendo yanayoonekana katika jamii ni mabaya sio sababu ya kifo chake! Isipokua siku ikawadia hata ungekuwa mwema kiasi gani mauti ni lazima, hivyo kwa wema na upendo wa MUNGU kwa njia ya KRISTO atamsamehe pale aliposhindwa kutimiza wajibu wake na hatimae KRISTO arudipo akawe miongoni mwa wale waingio katika uzima wa milele.
 
Kauziwa nyumba zake na mali zake nyingi, itakuwa ndio sababu
 

Attachments

  • 1425144241426.jpg
    1425144241426.jpg
    10.5 KB · Views: 1,064
Vijana wa CHADEMA jifunzeni kuwa kila mtu atakufa. Hata hao mnaowaona kama malaika lazima waonje mauti.
 
Daimond mkuu

Hahahaha Mkuu Seaman diamond hana uchungu na chama kama alivyokuwa mzee Komba..diamond bado mdogo kisiasa laabda wamwombe Mkuu @MrII atunge nyimbo za mwaka huu.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli alikuwa Na maneno Mabaya sana !!! Aliwahi kuimba Wimbo 🎤 alambee , WAPINZANI WACHANWE CHANWE WATUPWE !! 🎼 sipendi Sana huu wimbo !
 
Ile habari ya kuuza nyumba yake kwa denimla crdb itakuwa imemchanganya sana..sasa ccm sijui nani atatunga nyimbo wakati wa kampeni..ni sheeeeeedaahh

Hicho Ndicho Kikubwa Kwani Madeni Yalimzidi Mno Na Ilikuwa Ni Leo Ambapo Ule Uwanja Wake Mkubwa Uliopo Sehemu Nzuri Kibiashara Maeneo Ya Basihaya Upigwe MNADA Kisha Zifuatie Na Nyumba Zake Na Mali Zake Sasa Kwa Mtaji Huo Kuna Cha Kuishi Kweli? Jamaa Pesa Zake Zote Za Mikopo Kazitumia Vibaya Na Madada Zetu Na Mademu Zetu Na Najua Msanii Elizabeth Michael a.k.a LULU Atakuwa Ameumia Mno Kwani Ile Nyumba Kubwa Aishiyo Yeye Na Mama Yake Mbezi Kimara Marehemu Ndiyo Kasababisha Achilia Mbali Vinchechede Vingine. Huyu Jamaa Hakika Sitamsahau Pale Ambapo Alipomwita Rafiki Yangu Mmoja Maeneo Ya Kawe Na Kumwambia Ampe Shilingi Ngapi Ili Aachane Na Demu Wake Kisha Yeye ( Marehemu ) Amchukue......Hivyo Ni Baadhi Tu Ya Visa Vyake. Nipo Sasa Hapa Maeneo Karibu Kabisa Na Nyumbani Kwake Na Kuna NYOMI Ya VIP Na Sisi Watoto Wa Kitaa Cha Mbezi. Sasa Ni Wakati Wa Watoto Wake Kukatana Mapanga Kwa Kugombania Mali Za Urithi Ambazo Hata Hivyo Nyingi Zitapigwa Tu MNADA Hata Kama Karesti Ini Pisi!
 
Rip captain komba pole famailia ya mzee wetu komba ndugu jamaa na marafiki mungu awatie nguvu mpate moyo wa ustahimilivu.
 
Mtoto wa Komba Jerry Komba ...ni kada wa Chadema ...Ina maana huu Msiba inawahusu Chadema pia kumfariji kada wao ...ambaye Pamoja na kuitetea ccm hapa mwisho walimtupa na kuacha afilisiwe ...kwa Kuwa tu Ana muunga mkono Laigwanany
 
Back
Top Bottom