TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Huwa hatupendi kushabikia mauti wala kufurahia kifo cha mtu ila malipo ya kila kitu yapo hapa hapa duniani

Mshukuru Mungu kwa kila hatua na ukumbuke cheo ni dhamana usije kukitumia vibaya,

fikiria mzee warioba yupo hai ila kapten komba katangulia mbele za haki nways RIP kaptn komba sisi sote twaja

Ni kweli mkuu, Kifo hakichagui mzee, kijana wala mtoto. Marehe alisema Jaji Wariomba anaharibu nchi kwasababu umri wake wa kuishi duniani umekaribia kuisha. ila alisahau kuwa anayepanga kifo sio mwanadamu.
Any way RIP Captain
 
mwaka 1977 alikuwa mwalimu shule ya msingi Gangilonga mjini Iringa pia alikuwa akiongoza kikundi cha kwaya CCM ofisi ya mkoa wa Iringa

Baada ya hapo alifundisha shule ya msingi Kana, Tanga, aliimba nyimbo nyingi za kwaya.
 
Jamani tuwe tunaenda hosp kucheck afya zetu. BP na sukari inamaliza haraka. Tupunguze kula mafuta na kufanya mazoezi. Si laxima nje hata ndani kwako unaweza kufanya mazoezi. Tumia kiti kukaa na kusimama au tumia ukuta. Tujitahidi jamani.
 
Mwaka 2014 alisema mtu wa mwisho kumwimbia ccm atakuwa lowassa.
 
RIP Captain Komba,tulitoka kwa udogo tutarudi kwa udongo.Naamini Mungu ataipa roho za subira familia yake.Amefariki kabla ya kwenda msituni
 
Sikumbuki mwaka gani hasa but ilikuwa around mwaka 1992 hivi au 1993
those days nyimbo yake maarufu ilikuwa 'nambari one'

alikuwa kwenye kundi lake yuko na Mzee Majuto akiigiza
Alikuwa Mwembamba kiasi..kitambi kwa mbaali.....he was healthy..

hakuwa mbunge wala hakuwa na bajeti maalum ya kundi lake la TOT

alipoanza kupewa fungu maalum la kampeni mwaka 1995 na baadae ubunge
the rest was history.....alinenepa na kunenepa......hadi leo hii...

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi

Nikajua unene wa asilia.
hyo miaka nilikua dogo sana sikumuona
 
Ila hiisi inasomwaga baada ya kuzika? mbona umeiwahisha hivyo....
 
RIP Capitani.....Katika pitapita zangu nilimsikia mtumishi moja akisema..Chama Fulani kikubwa ktk kufanya makafala yake kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu...kuna Makada 4 wakubwa wa chama hicho ni lazima wafe. Sasa inabidi niinue antenna zangu!


TANZIA:

Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kapteni John Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam leo saa kumi jioni.

CCM na EATV(East Africa Television) Wameandika kwenye twitter yao.


attachment.php

 
kha!!! edward na wewe bana??!!! msitu gan tena zaidi ya huu???!!!! si ndo keshaingia sasa?????!!!!!

Mkuu, Kibinadamu inatia huzuni kushuhudia kifo cha binadamu mwenzio. Ila kiroho inatia matumaini kwani inaonyesha Mungu yupo na hakuna pori wala msitu wowote utakaojificha usikikutane na mkono wa Mungu.
RIP Komba ila ccm jifunzeni.
 
Daah! Tulikua nae kwenye siku za mapambano mwenzetu....ndugu yetu..... Dah! Rip mzee wetu.
 
Back
Top Bottom