valentinypaul
JF-Expert Member
- Aug 23, 2014
- 246
- 28
R.i.p.mh.jonh komba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P KOMBA..... nyimbo za maombolezo kifo cha Nyerere ulizitunga muda gani??.. au ulikua na siri ya kifo chake??
Huwa hatupendi kushabikia mauti wala kufurahia kifo cha mtu ila malipo ya kila kitu yapo hapa hapa duniani
Mshukuru Mungu kwa kila hatua na ukumbuke cheo ni dhamana usije kukitumia vibaya,
fikiria mzee warioba yupo hai ila kapten komba katangulia mbele za haki nways RIP kaptn komba sisi sote twaja
mwaka 1977 alikuwa mwalimu shule ya msingi Gangilonga mjini Iringa pia alikuwa akiongoza kikundi cha kwaya CCM ofisi ya mkoa wa Iringa
..........kwa Daimondsasa nyimbo tutatoa wapi?
Laana ya kumtukuna Warioba itawamaliza..
Makonda jiaandae...
Amepatwa na nin hadi afe??
Sikumbuki mwaka gani hasa but ilikuwa around mwaka 1992 hivi au 1993
those days nyimbo yake maarufu ilikuwa 'nambari one'
alikuwa kwenye kundi lake yuko na Mzee Majuto akiigiza
Alikuwa Mwembamba kiasi..kitambi kwa mbaali.....he was healthy..
hakuwa mbunge wala hakuwa na bajeti maalum ya kundi lake la TOT
alipoanza kupewa fungu maalum la kampeni mwaka 1995 na baadae ubunge
the rest was history.....alinenepa na kunenepa......hadi leo hii...
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
TANZIA:
Mbunge wa Mbinga na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kapteni John Damian Komba amefariki dunia ktk Hospitali ya TMJ, Dar es Salaam leo saa kumi jioni.
CCM na EATV(East Africa Television) Wameandika kwenye twitter yao.
![]()
kha!!! edward na wewe bana??!!! msitu gan tena zaidi ya huu???!!!! si ndo keshaingia sasa?????!!!!!