TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Ratiba ya kusafirisha mwili wa marehemu Mhe. Capt. John Komba itakuwa kama ifuatavyo:

Kesho tarehe 02/3/2015 saa 1 asubuhi misa parokia ya Mt. Bikira Maria Mpalizwa iliopo mbezi , saa 4 asubuhi mwili utaelekea Karimjee kwa ajili ya kuagwa, na saa 8 mchana mwili utaelekea airport tayari kwa safari ya Songea. Mazishi yatafanyika tarehe 3/3/2015 kijijini kwake Lituhi.

Kufuatia Msiba huu shughuli za kamati hazitakuwepo kwa kesho tarehe 2/3/2015. Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe na mwingine.


IMETOLEWA NA;
OFISI KATIBU WA BUNGE
1.3.2015
 
Pamoja na kuwa marehemu alikua na zaidi ya mke mmoja kinyume na ukristo,utashangaa mapadri watakavyofurika ktk misa yake.Angekua mlala hoi wangemsusa
 
Kweli baadhi ya mapadre sio.huduma inakwenda kwa mwenye hela hata kama hastahili k'bu ya bahasha.
 
Mungu na amuweke mahali pema Peponi Mh Cpt John Komba.

Uvccm Monduli: Asante kwa habari picha hii, nimefarijika sana kumuona mheshimiwa wangu na rais wetu mtarajiwa akiwa na afya njema Kabisa kabisa......Na Mungu amjalie heri na afya njema mti huu wa Matunda...Viva Edward Lowassa
 
Ahsante kwa post lakini rek..

Ww Victor jifunze "kukwoti" kwa nidhamu, unajaza pg bila sababu ya msingi, umeona mm nilivyofupisha quote yako kwa kufuta baadhi ya maneno?

Fanya hivi: baada ya klick reply utaona "
Ahsante kwa post lakini rekebisha majina ili kuweka kumbukumbu vizur. Waziri mkuu alie juzulu kwa kashfa ya Richmond
" sasa futa unecessary contents kati ya last square bracket na first yaani kati ya "[ ] na [ ]" angalia kwa makini ziko mbili na zina neno quote ndani yake usiguse kabisa! Sijui nimesomeka? Please inakera ku quote looong text/pictures
 
Back
Top Bottom