Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,871
Waheshimiwa wa Ufisadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakupa shingapi?
Lowassa anautumia msiba kufanya kampeni aisee.huyu mtu ni wa kumuogopa Kama ukoma.
Bashe nae ni mheshimiwa?
Kwa jasho lake lazima atakuwa na kipimo na ataiheshimu pesa yakeNa asilaaniwe mtu ambae anatumia m10 per day kama ametafuta kwa jasho lake .
Amina daimaNa iwe hivyo!!
Ameondoka na ngoma(ukiacha ile ya TOT), siyo pressure wala nini,na alikuwa akiisambaza makusudi kwa watoto
Msikitini kwetu kahonga mil 15!!! Eti anasaidia ujenzi ....ni fisadi tuu!!
Ungekuwa muislam ungemjua mungu na ungeacha unafiki.
Ahsante kwa post lakini rek..
" sasa futa unecessary contents kati ya last square bracket na first yaani kati ya "[ ] na [ ]" angalia kwa makini ziko mbili na zina neno quote ndani yake usiguse kabisa! Sijui nimesomeka? Please inakera ku quote looong text/picturesAhsante kwa post lakini rekebisha majina ili kuweka kumbukumbu vizur. Waziri mkuu alie juzulu kwa kashfa ya Richmond