Carol Ndosi ni nani haswa?

Status
Not open for further replies.
Never fail sister Carol and try your best to address all the previous failures especially those that seem to be in/under human control, so that there is some certainty on venues, duration time of the festival and publicity of the event.

Will suggest to start exploring the possibility of having events in Bagamoyo, just to have peace of mind and assurance that the event won't be interrupted and cut shot because a person can do that without any due cause.
 
M mwenyew nlikuwepo mpaka ASLAY alivopanda ndo nkasepa
 
Ilikua mwisho saa sita lakini wakabadilisha ikawa mwisho saa 2 usiku.
Kwa LEADERS nikushauri kitu ukitaka uutumie ule uwanja mpaka asubuh...fanya hiv ita WAANDISHI WA HABARI tangaza rasmi kujiunga na CCM chukua kadi kabsa halafu baada ya wiki moja andaa TAMASHA mualike na MAKONDA awe mgeni rasmi...hapo lazma utaruhusiwa mpaka asubuh.....simple like that....[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 

Kwa shughuli nilizoamua kujihusisha nazo sasa hivi kwa kweli kuingia kwenye siasa haitakua ethical.
 
Mwanamke mwenye maamuzi binafsi ni ngumu sana kuishi na mwanaume,
Kwa sababu wanaume mnatake control ya maisha ya mtu total.
 
Upo inspirational na ninakukubali ...
Nimependa spirit yako ya kutokukata tamaa na ninaamini mojawapo ya sababu ni kuwa na purpose na pia kupenda unachokifanya kwa moyo wote ..
 
Naunga mkono hoja Mkuu. Ni dada yuko vizuri sana kichwani. Tunahitaji watu kama hawa nchini lakini kama unavyoona juhudi zake za kulisaidia Taifa lake na raia wenzie zimeshaanza kuingiliwa na “taasisi husika”
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…