Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Alikuwapo kule YA... LFGNi dada yake na KizzoGunz....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwapo kule YA... LFGNi dada yake na KizzoGunz....
Alikuwapo kule YA... LFG
Huyu jamaa namkubali sana aisee
M mwenyew nlikuwepo mpaka ASLAY alivopanda ndo nkasepaNini kilitokea kwenye kipindi cha siasa za siasa? Nilikipenda kweli kile kipindi.
And naomba nikuambie una customer care nzuri. Last time Nyama Choma Moshi tulikutana na wewe tukiwa tunatoka. Ukatusimamisha like mnaenda wapi mbona mapema au mmeboreka. Tukakuambia tunatoka mara moja tunarudi. Kweli tulikua tumeboreka ila ukatumbia tusubirie Aslay anapanda na kama kuna kitu kimetuboa tukwambie. Ulitufanya tujisikie vibaya kuondoka na ilibidi turudi baadae sababu tulikuahidi tunarudi.
Kwa LEADERS nikushauri kitu ukitaka uutumie ule uwanja mpaka asubuh...fanya hiv ita WAANDISHI WA HABARI tangaza rasmi kujiunga na CCM chukua kadi kabsa halafu baada ya wiki moja andaa TAMASHA mualike na MAKONDA awe mgeni rasmi...hapo lazma utaruhusiwa mpaka asubuh.....simple like that....[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ilikua mwisho saa sita lakini wakabadilisha ikawa mwisho saa 2 usiku.
Kwa LEADERS nikushauri kitu ukitaka uutumie ule uwanja mpaka asubuh...fanya hiv ita WAANDISHI WA HABARI tangaza rasmi kujiunga na CCM chukua kadi kabsa halafu baada ya wiki moja andaa TAMASHA mualike na MAKONDA awe mgeni rasmi...hapo lazma utaruhusiwa mpaka asubuh.....simple like that....[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kizzo ni member wa kwanza wa JF wakati huo ikifahamika kama BC Times onlineHuyu KizzoGunz afahamiki apa. Umemtangaza yupo juuu kama Alikiba
Lol. Utakuta tulionana hata basi tu vile hatujuani.M mwenyew nlikuwepo mpaka ASLAY alivopanda ndo nkasepa
Mwanamke mwenye maamuzi binafsi ni ngumu sana kuishi na mwanaume,kwa jinsi ninavyosoma anachoandika huyu dada Carol, to be honest kwa mtazamo wang namuona ana akili nyingi sana, ctaki kuingia kwenye personal issue ya life yake, lkn inakuwaje hayupo kwenye ndoa, maana nahic ange perform zaidi au beyond her expectations. Sasa wanaume inabidi tuanze kuji train to another level ku handle wanawake wenye akili kubwa kama ya huyu bi shost carol, otherwise tutaendelea kusema sema tu ooh wanawake hivi, wanawake vile, they need us but we need to change for the future of our families and society
aiseeeeMwanamke mwenye maamuzi binafsi ni ngumu sana kuishi na mwanaume,
Kwa sababu wanaume mnatake control ya maisha ya mtu total.