Carol Ndosi ni nani haswa?

Carol Ndosi ni nani haswa?

Status
Not open for further replies.
Never fail sister Carol and try your best to address all the previous failures especially those that seem to be in/under human control, so that there is some certainty on venues, duration time of the festival and publicity of the event.

Will suggest to start exploring the possibility of having events in Bagamoyo, just to have peace of mind and assurance that the event won't be interrupted and cut shot because a person can do that without any due cause.
 
Nini kilitokea kwenye kipindi cha siasa za siasa? Nilikipenda kweli kile kipindi.
And naomba nikuambie una customer care nzuri. Last time Nyama Choma Moshi tulikutana na wewe tukiwa tunatoka. Ukatusimamisha like mnaenda wapi mbona mapema au mmeboreka. Tukakuambia tunatoka mara moja tunarudi. Kweli tulikua tumeboreka ila ukatumbia tusubirie Aslay anapanda na kama kuna kitu kimetuboa tukwambie. Ulitufanya tujisikie vibaya kuondoka na ilibidi turudi baadae sababu tulikuahidi tunarudi.
M mwenyew nlikuwepo mpaka ASLAY alivopanda ndo nkasepa
 
Ilikua mwisho saa sita lakini wakabadilisha ikawa mwisho saa 2 usiku.
Kwa LEADERS nikushauri kitu ukitaka uutumie ule uwanja mpaka asubuh...fanya hiv ita WAANDISHI WA HABARI tangaza rasmi kujiunga na CCM chukua kadi kabsa halafu baada ya wiki moja andaa TAMASHA mualike na MAKONDA awe mgeni rasmi...hapo lazma utaruhusiwa mpaka asubuh.....simple like that....[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Kwa LEADERS nikushauri kitu ukitaka uutumie ule uwanja mpaka asubuh...fanya hiv ita WAANDISHI WA HABARI tangaza rasmi kujiunga na CCM chukua kadi kabsa halafu baada ya wiki moja andaa TAMASHA mualike na MAKONDA awe mgeni rasmi...hapo lazma utaruhusiwa mpaka asubuh.....simple like that....[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Kwa shughuli nilizoamua kujihusisha nazo sasa hivi kwa kweli kuingia kwenye siasa haitakua ethical.
 
kwa jinsi ninavyosoma anachoandika huyu dada Carol, to be honest kwa mtazamo wang namuona ana akili nyingi sana, ctaki kuingia kwenye personal issue ya life yake, lkn inakuwaje hayupo kwenye ndoa, maana nahic ange perform zaidi au beyond her expectations. Sasa wanaume inabidi tuanze kuji train to another level ku handle wanawake wenye akili kubwa kama ya huyu bi shost carol, otherwise tutaendelea kusema sema tu ooh wanawake hivi, wanawake vile, they need us but we need to change for the future of our families and society
Mwanamke mwenye maamuzi binafsi ni ngumu sana kuishi na mwanaume,
Kwa sababu wanaume mnatake control ya maisha ya mtu total.
 
Upo inspirational na ninakukubali ...
Nimependa spirit yako ya kutokukata tamaa na ninaamini mojawapo ya sababu ni kuwa na purpose na pia kupenda unachokifanya kwa moyo wote ..
 
Naunga mkono hoja Mkuu. Ni dada yuko vizuri sana kichwani. Tunahitaji watu kama hawa nchini lakini kama unavyoona juhudi zake za kulisaidia Taifa lake na raia wenzie zimeshaanza kuingiliwa na “taasisi husika”
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom