Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Hahahaaaa utaniweka bandani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Basi mama naacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa utaniweka bandani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Basi mama naacha.
Eeeh nitakuwekaHahahaaaa utaniweka bandani?
Haya nitakukumbusha.Eeeh nitakuweka
Sawa.Haya nitakukumbusha.
Mkuu nakukubal sana kwa jitihada zako unazofanya kisiasa,kiuchumi na kijamii. Instagram unatumia jina gani?Nashukuru sana Kaka..lakini nitakua nakosa fadhila nisipowashukuru wadau na watu mbali mbali wakiongozwa na wateja wetu ambao wametushika mkono tangu siku ya kwanza.
Ni ukweli kabisa kutokana na hali ya uchumi, hata wadhamini wameathirika kwani marketing budgets zimepungua sana. Tulijatihidi kuendesha kwa hela zetu wenyewe mwaka jana lakini kwa kweli inabidi tupumzike kwanza hadi mwezi wa 6 huku tukijipanga na kurudi mezani kuangalia nini cha kuboresha. In the meantime we maintain and franchise the rights mikoani.
Karibu usome nakala yangu kule medium.
Thank you for the encouragement.
Nyama yako ilikwisha?Yani ile mvua ilitukomesha. Banda letu tu ndo maji hayakutusumbua sana na watu walikua wanakuja sababu wanaona wadada. Tunashukuru Mungu hatukupata hasara japo mazingira hayakua rafiki.
Yes iliisha.Nyama yako ilikwisha?
Instagram.
Kuna namna nilihitaji ushauri kutoka kwako ila sikupata majibu.
Mkuu nakukubal sana kwa jitihada zako unazofanya kisiasa,kiuchumi na kijamii. Instagram unatumia jina gani?
Ngoja nikakufollow chap
Hivi huyu Kijo yuko wapi aisee kipindi kile kilikuwa kizuri sana jamaa ana akili sana yuleNakumbuka Sana Kwenye EATV Start wewe CarolNdosi na Daniel Kijo ilikuwa 2005/2006.
Usijali nakutumia PmPole wangu..huwa napitiwa.
Wote ni wazigua? Mwezi wa sita mchukue mabanda zaidiUnatukumbuka? Tulikua wadada watatu. Mie mdau wako mkubwa sana wa nyama na ni rafiki wa Franklin pia your brother. Nyama choma ya mwezi wa nne tulichukua banda kwako na my friends banda flan lilikua na wadada wazuri wazuri la mwanzoni kabisa.
Wote ni wazigua? Mwezi wa sita mchukue mabanda zaidi
Kama ni wa hapo kilala makumira, itakua unamfahamu cashmiri wa ndoro hunters, Urio na wengine, Carol.
Unatukumbuka? Tulikua wadada watatu. Mie mdau wako mkubwa sana wa nyama na ni rafiki wa Franklin pia your brother. Nyama choma ya mwezi wa nne tulichukua banda kwako na my friends banda flan lilikua na wadada wazuri wazuri la mwanzoni kabisa.
Eeeh dadake Kizzo. Sema Kizzo kaka Carol mdogo wake wa pili au wa tatu hivii. Team watoto wa kishua wenyewe [emoji3][emoji3]Kumbe njlipatia.
Ni dada wa Kizzo.
Shaaban Robert baby....