Carol Ndosi ni nani haswa?

Carol Ndosi ni nani haswa?

Status
Not open for further replies.
CV yake imeshiba kama CV ya Sakina Dattoo Dewji....
 
Nashukuru sana Kaka..lakini nitakua nakosa fadhila nisipowashukuru wadau na watu mbali mbali wakiongozwa na wateja wetu ambao wametushika mkono tangu siku ya kwanza.

Ni ukweli kabisa kutokana na hali ya uchumi, hata wadhamini wameathirika kwani marketing budgets zimepungua sana. Tulijatihidi kuendesha kwa hela zetu wenyewe mwaka jana lakini kwa kweli inabidi tupumzike kwanza hadi mwezi wa 6 huku tukijipanga na kurudi mezani kuangalia nini cha kuboresha. In the meantime we maintain and franchise the rights mikoani.

Karibu usome nakala yangu kule medium.

Thank you for the encouragement.
Mkuu nakukubal sana kwa jitihada zako unazofanya kisiasa,kiuchumi na kijamii. Instagram unatumia jina gani?
 
Unatukumbuka? Tulikua wadada watatu. Mie mdau wako mkubwa sana wa nyama na ni rafiki wa Franklin pia your brother. Nyama choma ya mwezi wa nne tulichukua banda kwako na my friends banda flan lilikua na wadada wazuri wazuri la mwanzoni kabisa.
Wote ni wazigua? Mwezi wa sita mchukue mabanda zaidi
 
Unatukumbuka? Tulikua wadada watatu. Mie mdau wako mkubwa sana wa nyama na ni rafiki wa Franklin pia your brother. Nyama choma ya mwezi wa nne tulichukua banda kwako na my friends banda flan lilikua na wadada wazuri wazuri la mwanzoni kabisa.

Kumbe nilipatia.

Ni dada wa Kizzo.

Shaaban Robert baby....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom