Carol Ndosi: Rais Samia aache kusisitiza kila mara kuwa yeye ni Rais mwanamke, haipendezi

Suala la unemployment ni carry-over effect ya mtangulizi wake ambaye haku create ajira for 5 years consecutively. Na on the contrary aka i-shrink na private sector iliyokuwa ina complement government efforts.

Tumeona Samia akihangaika kufungua diplomasia, akifungua uchumi, akikaribisha wawekezaji na at least akitoa ajira za Serikali mwaka jana kwa sekta za afya, elimu, polisi, uhamiaji na TRA.

Hatuwezi kumpima kwenye provision ya employment kwa kuwa ana miezi 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…