Chawa wa Zamani
Senior Member
- Mar 12, 2023
- 145
- 224
Sina namna nyngne zaidi ya kusema Ajabu ! ajabu ! Naomba watu waje kunisaidia kushangaa!
Kwa akili hizi zenye unyaufu uliyotukuka. Yaani kutwaaa kila mahali ,kila Kona kila chocho wakike Kwa waume wanasema jambo hilo tu.
Hivi hilo tukio n la kwanza ? mbona yule aliyefanyiwa kule Tanga na kina said mbona hamkuungana kama hivi kumtetea ? Mbona yule Mbunge Gekul wa kule Manyara hamkuungana kama hivi? au kisa alifanyiwa mwanaume?
Wagoni wangapi wanakamatwa wanafanyiwa umafia na wanaume wenzao? nikisema Double standard mtakataa nyie wanafiki?
Na Je Kwa akili zenu zilizodumaa Lina athari ipi kubwa Kwa jamii?
Hiko kihoja kina athari kuliko matrilioni yanayoibiwa na wachache Tena kila kukicha mbona hapa hamshikamana kama mlivyokazania hiko kiissue?
Dollar Kwa Sasa n adimu na athari kibao zinaonekana ikiwemo kupanda maradufu Kwa bidhaa nyingi sana na hivyo kuzidisha ugumu wa maisha yenu ambayo Yapo kwenye Lindi la umasikini mbona hapa amshikamani kuihoji Serikali?
Mpaka Sasa bado mnaongozwa na Katiba mbovu iliyopita na wakati ,hili mnaliona sio Lenu eehhh! na wala haliwaumizi ila la huyo' mwizi wa mapenzi na hao wagoni wenzake mnaona la maana sana. Je n lamaana kuliko katiba mpya ?
Kuna Juha hapa anaweza tokea kusema eti Kwa Sababu sio ndugu yako n Hiv niliyoyaeleza n muhimu Kwa mustakabali wa kizazi na kizazi kuliko hizo petty issues mlizokomaa nazo !
Ambazo tunajua kabisa wataishia kulindanalindana Kisha hakuna hatua yoyote ya maana itakayochukiliwa juu ya hao wagoni.
Na ndio maana Kwa akili Hizi mambo ya hovyo yatazidi kutendwa na Viongoz wa juu. Kwa kuwa wanajua ni kwanamna gani akil zenu zlivyo.
Mpaka naanza kupata mashaka na huyo' Jamaa wa TLS alivyorukia hiko kihoja ataweza kutupeleka kule? kama na yeye ameanza kudandia Vitu vya wagoni?.inafikrisha mno .
Niwaulize tena yaan mnaumizwa na hilo kuliko mikataba mibovu, ufisadi, Umasikini, ujinga ,Maradhi na Upumbavu uliyowajaa?
Nitarudi niwasalimie!