Case study; Binti wa Yombo Dovya kaifanya nchi nzima kujadili(petty issues) ili Hali Kuna mengi ya msingi mno katika maisha yao wameyakalia Kimya!

Case study; Binti wa Yombo Dovya kaifanya nchi nzima kujadili(petty issues) ili Hali Kuna mengi ya msingi mno katika maisha yao wameyakalia Kimya!

This is not pity issue

Gang rape - this is unacceptable

Watoto wengi wa uswahilini wanajiingiza katika kutembea na wanaume za WATU kutokana na MAISHA. So we need to be conscious enough to deal with them in positive. Way and not (GANG -RAPE).
Hivi hili neno mke wa mtu na mme wa mtu lina nafasi zaidi ya ubinafsi wa binadamu?
 
Kwenye Dunia hii inayotutaka kuwa na sympathy na Empathy umeamua kutumia logics peke yake kufanya reasoning yako.

Hii issue ni kubwa, ngumu, inayoonesha namna ambavyo ukatili wa kijinsia unazidi kushamiri.

Say no to rape and Gender Based Violence.
 
Ni suala kubwa hili kwani linahusishwa na watu wanaoaminiwa na pia wenye heshima katika nchi yetu
Hili sio jambo dogo kwani mpaka Rais kaliongelea na watawajibishwa
Kwani wao nani wafichwe?
Kesi kubwa hii na ya aibu pia kwa jeshi kama hamlioni hivyo
Ubakaji na uonezi wowote lazima ukemewe na hizo kesi zingine pia zimekemewa ndio maana unazijua vizuri

Binadamu ambaye hana AKILI ni Kama mnyama wa kawaida.

Hawa watoto wa uswazi wanajiuza na kutembea na wanaume za watu in order to feed their stomachs

So ukimkamata mtoto Kama yule na kumbaka unakuwa unamuonea bure

So this is not pity issue hajalishi hili tukio kafanya nani

So mtoa mada hayupo sahihi.
 
This is not pity issue

Gang rape - this is unacceptable

Watoto wengi wa uswahilini wanajiingiza katika kutembea na wanaume za WATU kutokana na MAISHA. So we need to be conscious enough to deal with them in positive. Way and not (GANG -RAPE).
unauhakika kabakwa vip kama walikubaliana? na kwanin achukue mume wa mtu?
Ukweli mchungu
kabsa mkuu wamezee na Bia tu hakuna namna ..kweny ukweli tutasema
 
Kwenye Dunia hii inayotutaka kuwa na sympathy na Empathy umeamua kutumia logics peke yake kufanya reasoning yako.

Hii issue ni kubwa, ngumu, inayoonesha namna ambavyo ukatili wa kijinsia unazidi kushamiri.

Say no to rape and Gender Based Violence.

Hajatumia logic maana logic ni reasoning (kujiuliza maswali )

Empathy
Sympathy

Hawezi kuzijua hizi elements mbili zinazoongoza MAISHA na kumfanya MTU kuwa na maamuzi ya kutolipiza kisasi na kuwa na hesabu za ubaya
 
hayo unayotetea mbona wewe haupo mstari wa mbele kuyasemea?? mbona mimi binafsi naona watu kila siku wanayaongelea hayo unayosema wewe, sio tu kuongelewa yanapigiwa kelele

kwahiyo mkuu ulitaka wakae kimya kwa hili tukio au wale jamaa wapo sahihi kwa mujibu wa uzi wako lakini?
 
Ukikaa uswahilini utajua mambo mengi hawa watoto sio wakuwafanyia hivyo wanatembea na wanaume za watu kupata chochote kitu cha kuweka mdomoni so kumuandalia gang rape is shit

e
Upo sahihi Mkuu. Captain angemalizana tu na mume wake. Bahati yake Amiri jeshi wa sasa anaweza asimchukulie hatua mbaya. Jiwe angemfukuza
 
Kuna masuala ya kujenga uelewa wa jinai kwa jamii inayotoka kwenye teknolojia ndogo kwenda kwenye teknolojia kubwa.
Bahati mbaya litapita kama yalivyopita mengine makubwa kuliko hili na yatakayo kuja makubwa kuliko hili lakini ni namna gani uelewa juu ya jinai utajengwa kupitia matukio kama haya, nani mtoa darasa?
Nani yupo tayari kujifunza ? Ni Sisi ambao tunajadili kwa vionjo vya ngono mijadala ya matukio kama haya?
Weka hapa hoja ya uelewa wa jinai , uelewa wa ukuwaji wa teknolojia uone kama kutakuwa na mwitikio wa michango!
Ila weka mjadala mwingine wa ubakaji na wenye maudhui ya ngono uone mwitikio wake.
 
Wanasheria na wanateknolojia wanatoa elimu kila siku Clubhouse, na watu wanajifunza.

Maongezi hayaishii hapa JF.
 
Back
Top Bottom