Sina namna nyngne zaidi ya kusema Ajabu ! ajabu ! Naomba watu waje kunisaidia kushangaa!
Kwa akili hizi zenye unyaufu uliyotukuka ..Yaani kutwaaa kila mahali ,kila Kona kila chocho wakike Kwa waume wanasema jambo hilo tu...
Hivi hilo tukio n la kwanza ?? mbona yule aliyefanyiwa kule Tanga na kina said mbona hamkuungana kama hv kumtetea ?..mbona yule mbunge Gekul wa kule manyara hamkuungana kama hv ? au kisa alifanyiwa mwanaume?
Wagoni wangap wanakamatwa wanafanyiwa umafia na wanaume wenzao ? nikisema Double standard mtakataa nyie wanafki?
Na Je Kwa akili zenu zilizodumaa Lina athari ipi kubwa Kwa jamii?
Hiko kihoja kina athari kuliko matrilioni yanayoibiwa na wachache Tena kila kukicha mbona hapa hamshikaman kama mlivyokazania hiko kiissue?
Dollar Kwa Sasa n adimu na athari kibao zinaonekana ikiwemo kupanda maradufu Kwa bidhaa nyng sana na hvyo kuzdsha ugumu wa maisha yenu ambayo Yapo kweny Lindi la umasikin mbona hapa amshikamani kuihoji serikali?
Mpk Sasa Bado mnaongozwa na katiba mbovu iliyopita na wakati ,hili mnaliona sio Lenu eehhh!...na Wala haliwaumiz ila la huyo' mwiz wa mapenz na hao wagon wenzake mnaona la maana saaanaa...Je n lamaana kuliko katiba mpya ?
Kuna Juha hapa anaweza tokea kusema eti Kwa Sababu sio ndugu yako n Hiv niliyoyaeleza n muhimu Kwa mustakabali wa kizazi na kizazi kuliko hizo petty issues mlizokomaa nazo !
Ambazo tunajua kabisa wataishia kulindanalindana Kisha hakuna hatua yoyote ya maana itakayochukiliwa juu ya hao wagoni!!
Na ndio maana Kwa akili Hz mambo ya hovyo yatazd kutendwa na Viongoz wa juu..Kwa kuwa wanajua n kwanamna gan akil zenu zlivyo !
Mpk naanza kupata mashaka na huyo' Jamaa wa TLS alivyorukia hiko kihoja ataweza kutupeleka kule ? kama na yey ameanza kudandia Vitu vya wagoni? ...inafikrisha mno !
Niwaulize tena yaan mnaumizwa na hilo kuliko mikataba mibovu,ufisad umasikin ,ujinga ,maradhi na upumbavu uliyowajaa?
Ntarudi niwasalimie!!!!