Hivi hili neno mke wa mtu na mme wa mtu lina nafasi zaidi ya ubinafsi wa binadamu?This is not pity issue
Gang rape - this is unacceptable
Watoto wengi wa uswahilini wanajiingiza katika kutembea na wanaume za WATU kutokana na MAISHA. So we need to be conscious enough to deal with them in positive. Way and not (GANG -RAPE).
Ni suala kubwa hili kwani linahusishwa na watu wanaoaminiwa na pia wenye heshima katika nchi yetu
Hili sio jambo dogo kwani mpaka Rais kaliongelea na watawajibishwa
Kwani wao nani wafichwe?
Kesi kubwa hii na ya aibu pia kwa jeshi kama hamlioni hivyo
Ubakaji na uonezi wowote lazima ukemewe na hizo kesi zingine pia zimekemewa ndio maana unazijua vizuri
unauhakika kabakwa vip kama walikubaliana? na kwanin achukue mume wa mtu?This is not pity issue
Gang rape - this is unacceptable
Watoto wengi wa uswahilini wanajiingiza katika kutembea na wanaume za WATU kutokana na MAISHA. So we need to be conscious enough to deal with them in positive. Way and not (GANG -RAPE).
kabsa mkuu wamezee na Bia tu hakuna namna ..kweny ukweli tutasemaUkweli mchungu
Hana akili huyo. Yuko zama za mawe,actually ni kama nyani hajafika ubinadamu.Unaita military ordered revenge gang rape petty issue?
Kwenye Dunia hii inayotutaka kuwa na sympathy na Empathy umeamua kutumia logics peke yake kufanya reasoning yako.
Hii issue ni kubwa, ngumu, inayoonesha namna ambavyo ukatili wa kijinsia unazidi kushamiri.
Say no to rape and Gender Based Violence.
unauhakika kabakwa vip kama walikubaliana? na kwanin achukue mume wa mtu?
kabsa mkuu wamezee na Bia tu hakuna namna ..kweny ukweli tutasema
Hivi hili neno mke wa mtu na mme wa mtu lina nafasi zaidi ya ubinafsi wa binadamu?
Upo sahihi Mkuu. Captain angemalizana tu na mume wake. Bahati yake Amiri jeshi wa sasa anaweza asimchukulie hatua mbaya. Jiwe angemfukuzaUkikaa uswahilini utajua mambo mengi hawa watoto sio wakuwafanyia hivyo wanatembea na wanaume za watu kupata chochote kitu cha kuweka mdomoni so kumuandalia gang rape is shit
e
Kuna watu wana uelewa mdogo sana.Hana akili huyo. Yuko zama za mawe,actually ni kama nyani hajafika ubinadamu.
Bahati mbaya litapita kama yalivyopita mengine makubwa kuliko hili na yatakayo kuja makubwa kuliko hili lakini ni namna gani uelewa juu ya jinai utajengwa kupitia matukio kama haya, nani mtoa darasa?Kuna masuala ya kujenga uelewa wa jinai kwa jamii inayotoka kwenye teknolojia ndogo kwenda kwenye teknolojia kubwa.
nonsensical!Hana akili huyo. Yuko zama za mawe,actually ni kama nyani hajafika ubinadamu.
Wanasheria na wanateknolojia wanatoa elimu kila siku Clubhouse, na watu wanajifunza.Bahati mbaya litapita kama yalivyopita mengine makubwa kuliko hili na yatakayo kuja makubwa kuliko hili lakini ni namna gani uelewa juu ya jinai utajengwa kupitia matukio kama haya, nani mtoa darasa?
Nani yupo tayari kujifunza ? Ni Sisi ambao tunajadili kwa vionjo vya ngono mijadala ya matukio kama haya?
Weka hapa hoja ya uelewa wa jinai , uelewa wa ukuwaji wa teknolojia uone kama kutakuwa na mwitikio wa michango!
Ila weka mjadala mwingine wa ubakaji na wenye maudhui ya ngono uone mwitikio wake.
Ni suala la elimu ndogo, umasikini wa akili na ustaarabu karibu sifuri, na hawa ngumbaru wako wengi sana Tanzania.Huyu kichwa chake nacho ni cha kutafiti.
Huyu binadamu siyo wa kawaida.
Hii imepata mjadala mkubwa kwasababu imegusa jeshi na pia ni kitendo cha kinyama watu SITA wanambaka Binti. Na pia walijirekodi na kurusha mitandaoni.Jinai ngapi zinatokea na zingine zimetokea leo hazipewi mjadala mpana namna hii?
na pengne huyo' Binti utakuta hata bongo hayupo ...watanzania wamehamishwa na wao wamejaa ...hovyo kabsaNgono ndio kitu Wabongo tunaweza kujadili kwa ufanisi