Case study; Binti wa Yombo Dovya kaifanya nchi nzima kujadili(petty issues) ili Hali Kuna mengi ya msingi mno katika maisha yao wameyakalia Kimya!

Hii nchi siku hizi tunajadili day to day issues tu. Mfano simba na yanga,ikiisha hyo kama hivi kuna bint wa kubakwa,next week nitaibuka lingine ndo ivo tu yaani.

Lakini kuna kupanda kwa gharama za maisha,masuala ya afya,elimu,ajira kwa vijana,kilimo,miundombinu ambavyo kimsingi ndyo vitu vya msingi kujadiliwa lakini duuuh! My country peoples wananishangaza sana.
very logic kudos kwako! wapuuz na Weny utapiamlo wa akili hawatoelewa ...mpk Sasa hawajui priority Yao n ipi?
 
Sina namna nyngne zaidi ya kusema Ajabu ! ajabu ! Naomba watu waje kunisaidia kushangaa!

Kwa akili hizi zenye unyaufu uliyotukuka. Yaani kutwaaa kila mahali ,kila Kona kila chocho wakike Kwa waume wanasema jambo hilo tu.

Hivi hilo tukio n la kwanza ? mbona yule aliyefanyiwa kule Tanga na kina said mbona hamkuungana kama hivi kumtetea ? Mbona yule Mbunge Gekul wa kule Manyara hamkuungana kama hivi? au kisa alifanyiwa mwanaume?

Wagoni wangapi wanakamatwa wanafanyiwa umafia na wanaume wenzao? nikisema Double standard mtakataa nyie wanafiki?

Na Je Kwa akili zenu zilizodumaa Lina athari ipi kubwa Kwa jamii?

Hiko kihoja kina athari kuliko matrilioni yanayoibiwa na wachache Tena kila kukicha mbona hapa hamshikamana kama mlivyokazania hiko kiissue?

Dollar Kwa Sasa n adimu na athari kibao zinaonekana ikiwemo kupanda maradufu Kwa bidhaa nyingi sana na hivyo kuzidisha ugumu wa maisha yenu ambayo Yapo kwenye Lindi la umasikini mbona hapa amshikamani kuihoji Serikali?

Mpaka Sasa bado mnaongozwa na Katiba mbovu iliyopita na wakati ,hili mnaliona sio Lenu eehhh! na wala haliwaumizi ila la huyo' mwizi wa mapenzi na hao wagoni wenzake mnaona la maana sana. Je n lamaana kuliko katiba mpya ?

Kuna Juha hapa anaweza tokea kusema eti Kwa Sababu sio ndugu yako n Hiv niliyoyaeleza n muhimu Kwa mustakabali wa kizazi na kizazi kuliko hizo petty issues mlizokomaa nazo !

Ambazo tunajua kabisa wataishia kulindanalindana Kisha hakuna hatua yoyote ya maana itakayochukiliwa juu ya hao wagoni.

Na ndio maana Kwa akili Hizi mambo ya hovyo yatazidi kutendwa na Viongoz wa juu. Kwa kuwa wanajua ni kwanamna gani akil zenu zlivyo.

Mpaka naanza kupata mashaka na huyo' Jamaa wa TLS alivyorukia hiko kihoja ataweza kutupeleka kule? kama na yeye ameanza kudandia Vitu vya wagoni?.inafikrisha mno .

Niwaulize tena yaan mnaumizwa na hilo kuliko mikataba mibovu, ufisadi, Umasikini, ujinga ,Maradhi na Upumbavu uliyowajaa?

Nitarudi niwasalimie!
Ile siyo petty issue

Ubakaji siyo petty issue

Bladifakin
 
Ubakaji sio Petty issue mkuu ndiyo maana kwenye katiba yetu ina adhabu kali sana na hata kwenye misamaha ya rais mbakaji hapewi msamaha na pia hata dhamana sidhani kama ipo.
 
Kiasilia mwanamke ana nguvu ya kuwamiliki wanaume hata 10 kwa wakati mmoja.ILA IWE MAKUBALIANO.
umeshajiuliza yule dada yupo hospital gani kalazwa sababu ya kufanyiwa vile?
Ndio aliwamudu.kosa KUMDHALILISHA KWA KUMREKODI NA KUSAMBAZA.
Nani alikudanganya kuhusu hilo wewe mpuuzi!!! Mwanamke gani anaweza kumiliki wanaume 10 kwa wakati mmoja???!!! Au neno "kumiliki" unamaanisha nini? Nilivyoelewa kutokana na post yako ni kufanya mapenzi na wanaume 10 kwa wakati mmoja!!! Hayupo huyo mwanamke duniani!!!!
 
Binadamu ambaye hana AKILI ni Kama mnyama wa kawaida.

Hawa watoto wa uswazi wanajiuza na kutembea na wanaume za watu in order to feed their stomachs

So ukimkamata mtoto Kama yule na kumbaka unakuwa unamuonea bure

So this is not pity issue hajalishi hili tukio kafanya nani

So mtoa mada hayupo sahihi.
Kama amekosea afute kauli yake hiyo
Na kama analikomalia basi ana tatizo kubwa
Sio suala dogo kabisa hili
Ni mtu mwenye roho mbaya tu ndio anaweza kutetea haya au ni mmoja wao
 
Sina namna nyngne zaidi ya kusema Ajabu ! ajabu ! Naomba watu waje kunisaidia kushangaa!

Kwa akili hizi zenye unyaufu uliyotukuka. Yaani kutwaaa kila mahali ,kila Kona kila chocho wakike Kwa waume wanasema jambo hilo tu.

Hivi hilo tukio n la kwanza ? mbona yule aliyefanyiwa kule Tanga na kina said mbona hamkuungana kama hivi kumtetea ? Mbona yule Mbunge Gekul wa kule Manyara hamkuungana kama hivi? au kisa alifanyiwa mwanaume?

Wagoni wangapi wanakamatwa wanafanyiwa umafia na wanaume wenzao? nikisema Double standard mtakataa nyie wanafiki?

Na Je Kwa akili zenu zilizodumaa Lina athari ipi kubwa Kwa jamii?

Hiko kihoja kina athari kuliko matrilioni yanayoibiwa na wachache Tena kila kukicha mbona hapa hamshikamana kama mlivyokazania hiko kiissue?

Dollar Kwa Sasa n adimu na athari kibao zinaonekana ikiwemo kupanda maradufu Kwa bidhaa nyingi sana na hivyo kuzidisha ugumu wa maisha yenu ambayo Yapo kwenye Lindi la umasikini mbona hapa amshikamani kuihoji Serikali?

Mpaka Sasa bado mnaongozwa na Katiba mbovu iliyopita na wakati ,hili mnaliona sio Lenu eehhh! na wala haliwaumizi ila la huyo' mwizi wa mapenzi na hao wagoni wenzake mnaona la maana sana. Je n lamaana kuliko katiba mpya ?

Kuna Juha hapa anaweza tokea kusema eti Kwa Sababu sio ndugu yako n Hiv niliyoyaeleza n muhimu Kwa mustakabali wa kizazi na kizazi kuliko hizo petty issues mlizokomaa nazo !

Ambazo tunajua kabisa wataishia kulindanalindana Kisha hakuna hatua yoyote ya maana itakayochukiliwa juu ya hao wagoni.

Na ndio maana Kwa akili Hizi mambo ya hovyo yatazidi kutendwa na Viongoz wa juu. Kwa kuwa wanajua ni kwanamna gani akil zenu zlivyo.

Mpaka naanza kupata mashaka na huyo' Jamaa wa TLS alivyorukia hiko kihoja ataweza kutupeleka kule? kama na yeye ameanza kudandia Vitu vya wagoni?.inafikrisha mno .

Niwaulize tena yaan mnaumizwa na hilo kuliko mikataba mibovu, ufisadi, Umasikini, ujinga ,Maradhi na Upumbavu uliyowajaa?

Nitarudi niwasalimie!
Kuna wetoto kibao wanakufa na kuuliwa hamna anaye jali.Hivi hu yo binti alifikaje eneo La tukio?
 
wewe ni mpumbavu.
 
Huo ni uhalifu kama uhalifu mwingine.kitashangaza nakua jambo kubwa endapo vyombo vyakushungulikia vitakaa kimya.zaidi ya hapo hizo kelele ni mihemko tu ya wabongo kwasababu hatuna mambo yakutusumbua vichwa.Baada ya wiki mbili likiibuka jingine hili tunalisahau tunarukia jingine.
 
Back
Top Bottom