Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Mfano uwapeleke Wazanzibar pale si itakuwa kituko?

NECTA yenyewe inawabeba lakini wapi
 
Na hata mabilionea hapa duniani ni asilimia 1 tu

Hii ni list ya matajiri top 10 wanaoongoza duniani kwa sasa, hawa wote walisoma vyuoni, walitumia taaluma walizosoma kuzigeuza ziwe ideas ambazo zimewatajirisha.

Elon Musk
Larry Ellison
Bernard Arnault
Larry Page
Bill Gates
Warren Buffett
Steve Ballmer
Sergey Brin
Jeff Bezos
Mark Zuckerberg
Na wewe unaamini hawa ndiyo matajiri wanaongoza Duniani? Akili za kuambiiwa…. Kwa hiyo hamna Muarabu anayewazidi hawa?
 
Kama kwamba unawatangazia biashara Harvad University
Ukiwa huwaoni huko haina maana kuwa hawasomi.Ni kwamba wanaimarisha vyuo vyao vikuu vilivyosimama kwa muda.
 
Sijajibu havard. Nimejibu ulivyouliza mbona hawachimbi mafuta. Wanachimbiwa. Ndio nikakujibu matajiri huwa hawafanyi kazi ngumu. Huwa wanaajiri watu wa kuwachimbia.

Mfano kampuni ya mafuta ya saudi arabia inayoitwa Aramco. Pato lake la mwaka ni kubwa kuliko GDP ya africa mashariki yote tukijumlisha nchi zote.

Imagine hiyo ni kampuni moja tu. Sasa why wasaudi wahangaike na shuke sana ili kwenda havard
Kumbe wewe ukisikia kuchimba mafuta akili inakupeleka kule kwenu nanjilinji wanavyochimba kokoto? 🤣🤣🤣 Wazungu very bright mafuta yanachimbwa wakiwa wanakunywa ghahawa pembeni. Wanazunguka tu kwenye viti wakipigwa na kiyoyozi.
 
Unaongelea uvumbuzi wa miaka ya zamani China hakuna uvumbuzi mpya wanafanya nakubali walivumbua gun-powder na karatasi. Mimi naongelea tafifti zinanoleta teknolojia mpya katika wakati uliopo.
Wewe ndiyo unasema ukimaliza kusoma Ujerumani utakuja Tanzania kufingua kiwanda cha magari? Laba magari ya waya yale walikuwa wanaendesha watoto.
 
Wewe ndiyo unasema ukimaliza kusoma Ujerumani utakuja Tanzania kufingua kiwanda cha magari? Laba magari ya waya yale walikuwa wanaendesha watoto.
Nimesema wapi nitakuja kufungua kiwanda cha magari ? Nimesema nitakuja kufungua kiwanda sija-specify magari. Kuna market kubwa ya Industrial manufacturing ya vitu vingi sana.
 
Wewe dogo upo ujerumani 🤡 huko ujerumani umeenda kufuata ujinga au elimu ?
Haya maisha haya yapo complicated sana. Unakuta mtu hajawahi hata kwenda Kenya anakuja na kuita watu dogo. Unachangia Jamii forum kwa vitu unavyosoma mitandaoni. Lakini mimi nachangia kwa vitu niliyoshuhudia. Katika post zangu huwezi kumtukana wala kumdhihaki mtu lakini nawaahidi kuwa kuna fursa kubwa ya kunyonya waliolala mpaka mifupa. Nimepitia vitu vingi sana mpaka nimefika hapa. Kamwe siwezi kumuonea huruma mtu mvivu na asiyejituma. Namwonea huruma mtu asiyejua. Na nipo tayari ku-share knowledge kadri ya uwezo wangu.
 
Hivi kila mtu akieleza historia ya maisha yake aliyepitia itakuaje humu JF kwa wewe umefanya kikubwa kipi mpaka kila muda unajitolea mfano, acha ushamba Ulaya wewe siyo wa kwanza kwenda kusoma, halafu kusoma Ulaya au kuishi Ulaya siyo kuyashinda maisha kuna mtu anatoa bidhaa zake Makete analeta Dar anapiga pesa kuliko wewe kili kikicha kujitapa tu na Ujerumani, mimi niko hivi umekaririshwa ujinga, wewe unapata wapi nguvu za kuwaponda Wachina na Waarabu wakati ndugu zako Tanzania wanaumwa UTI sugu. Acha ushamba.
 
Tanzania ina vyuo vyenye world score??
Nitajie hata chuo cha Tanzania chenye nafasi hata ya 300 kidunia.
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM: RANKINGS

The University of Dar es Salaam ranked 1st in Tanzania, 1603rd in the global 2024 rating, and scored in the TOP 50% across 80 research topics.
29 Feb 2024
 
Hivi kila mtu akieleza historia ya maisha yake aliyepitia itakuaje humu JF kwa wewe umefanya kikubwa kipi mpaka kila muda unajitolea mfano, acha ushamba Ulaya wewe siyo wa kwanza kwenda kusoma, halafu kusoma Ulaya au kuishi Ulaya siyo kuyashinda maisha kuna mtu anatoa bidhaa zake Makete analeta Dar anapiga pesa kuliko wewe kili kikicha kujitapa tu na Ujerumani, mimi niko hivi umekaririshwa ujinga, wewe unapata wapi nguvu za kuwaponda Wachina na Waarabu wakati ndugu zako Tanzania wanaumwa UTI sugu. Acha ushamba.
Mimi sio mwanasiasa wala mbunge najipambania ugali wangu sina ndugu yangu anaeumwa UTI sugu. Siwapondi wachina na waarabu ninachokisema ni kuwa waaafrika tunawabeba watu ambao hawana faida kwetu. Nipo naendelea na upambanaji nakutakia maisha mema Mtanzania mwenzangu. Watanzania wengi wamelala sana ukizunguka hapo Kenya ndio utajua kwa nini wakenya wapo juu sana kuliko sisi. Watanzania bado hatujui shida tunasubiri serikali itufanyie kila kitu. CCM inabidi iongeze shida ili akili zifunguke kidogo.
 
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM: RANKINGS

The University of Dar es Salaam ranked 1st in Tanzania, 1603rd in the global 2024 rating, and scored in the TOP 50% across 80 research topics.
29 Feb 2024
Ishakosa sifa nilizozitaka hapo.
Chuo cha 1600+ yani hata ya 500 bora hakipo!!???
Wenzenu wana vyuo viko nafasi ya 100 bora bado mnawabeza.
 
Mimi sio mwanasiasa wala mbunge najipambania ugali wangu sina ndugu yangu anaeumwa UTI sugu. Siwapondi wachina na waarabu ninachokisema ni kuwa waaafrika tunawabeba watu ambao hawana faida kwetu. Nipo naendelea na upambanaji nakutakia maisha mema Mtanzania mwenzangu. Watanzania wengi wamelala sana ukizunguka hapo Kenya ndio utajua kwa nini wakenya wapo juu sana kuliko sisi. Watanzania bado hatujui shida tunasubiri serikali itufanyie kila kitu. CCM inabidi iongeze shida ili akili zifunguke kidogo.
Kuna watu waba njaa kama wakenya? Wdwe una unri gani? Wewe unaponda waarabu na wachina kwa chuki zako binafsi huyo dada wa kiarabu huajasoma naye huko NASa maana wewe umesoma na kila mtu Wachina Wahindi, Wahong Kong, Wataiwan, Wamarekani.
 
Attachments

  • IMG_1451.jpeg
    IMG_1451.jpeg
    580.8 KB · Views: 5
Kuna wana njaa kama wakenya? Wdwe una unri gani? Wewe unaponda waarabu na wachina kwa chuki zako binafsi huyo dada wa kiarabu huajasoma naye huko NASa maana wewe umesoma na kila mtu Wachina Wahindi, Wahong Kong, Wataiwan, Wamarekani.
Halafu Mpalestina anayembeza sasa.
 
Mfano uwapeleke Wazanzibar pale si itakuwa kituko?

NECTA yenyewe inawabeba lakini wapi
Wazanzibari/Wapemba hao ni Special case kaka.
Waarabu wenyewe wanawashangaa wapemba kama haujui.
 
Inaniuma sana wewe kama Mwafrika kumthamini Mwarabu au Mhindi yupo juu kuliko wewe. Mimi silinganishi Afrika na Uarabuni, au Afrika na India. Nina linganisha Israel na Palestine na watu walio nyuma yao. Kwa hiyo hata kwenye hili suala la vyuo nalinganisha Israel Backers na Palestine Backers. Ukizunguka dunia itakuja kugundua waarabu na washindi hawana utu kabisa. Wao kwa wao wana matabaka makubwa sana.
Shida unahama hama mada mkuu.
Hapa hatujadili civilization/ustaarabu wa jamii bali tunajadili nguvu ya elimu kama mleta mada alivyosema.
Unahama unaenda nje ya mada.
Mada ni usomi sio ustaarabu wa waarabu ama wahindi.
Stick katika mada mkuu stick katika mada.
 
Usomi ndio unaozaa ustaarabu ndugu yangu hata hapa Tanzania. Ukitembea utaona effect ya elimu katika ustaarabu wa Sehemu mbalimbali za nchi.
 
Kuna wana njaa kama wakenya? Wdwe una unri gani? Wewe unaponda waarabu na wachina kwa chuki zako binafsi huyo dada wa kiarabu huajasoma naye huko NASa maana wewe umesoma na kila mtu Wachina Wahindi, Wahong Kong, Wataiwan, Wamarekani.
Unasema Kenya wana njaa lakini kwa taarifa yako katika watu wanaopiga kazi na wamejazana huku nje wakenya wametuacha nyuma sana. Watanzania tumezoea kubebwa kubembelezwa kuitwa wanyonge. Mtanzania anaweza kuwa na maisha magumu lakini bado anachagua kazi. Mtanzania hata akiwa na kazi anafanya kama analazimishwa. Aisee sisi tuko nyuma sana. Naomba ujaribu kwenda hata hapo Nairobi halafu linganisha huduma utakayopata katika service yeyote na nyumbani. Hapo ndio utajua kuna mahala tunapwaya. Waliowahi kufanya biashara au kuishi Kenya wanajua.

Unachukua mtu mmoja mmoja nimekuambia waarabu hawajafikia influence ya wayahudi katika ramani ya dunia. Haya niambie hapo NASA kuna wayahudi wangapi na waarabu wangapi ?
 
Back
Top Bottom