Nilikuuliza Houthi Yemeni wamezuia meli ya Israel na kuiteka na wameifunga red sea meli za Israel zisipite ,je Israel kuji infiltrate na mataifa makubwa kumesaidia kufungua red sea na kuikomboa meli yake???
Ulisema we muhandisi eeeh!?
Muhandisi na geopolitics wapi na wapi we jamaa!!??
KILA TAIFA LINA NAMNA YAKE YA KUJITETEA SIO SAWA SAWA NA WEWE UNAVYOLAZIMISHA WE JAMAA EMBU ELEWA.
DUNIA HAIENDI HIVYO KAMA UDHANIAVYO WEWE DUNIA ISHAGAWANYIKA HIZO G20 NA G8 HAZINA NGUVU TENA.
Waturuki jamii yao imevamiwa na jamii ya kirumi,kigiriki,Kiserbia,Kiyugoslavia,Chechnia,Bolivia n.k n.k
Hata huyo ERTUGRUL JINA HALISI ENGEN ALTAN DUZAYTAN NI ASILI YA BOSNIA ALIYEHAMIA UTURUKI.
Hivyo hayo mataifa ya ULAYA MASHARIKI KUCHANGANYIKA NA WATURUKI KUMEFANYA KUWA KUNA MKANGANYIKO WA USTAARABU.
HAo mastaa wote sio asili halisi ya kituruki asili halisi ya kituruki ni wakudsi na wafursi na huwezi wakuta na nywele nyeupe ama blonde hair.
Nimesoma na hao jamaa shule zao na walimu wao BADO KIDOGO NIENDE NAO EIDHA KARABAYIR AMA KARACHI.
Toka zamani miaka 1200 Uturuki ikiwa inaitwa Ali Seljuk imekua ikiwa vizuri katika sayansi ya tiba na sanaa.
Una mengi huyajui bro uliza uambiwe.