Nimekwambia unipe jibu.Sio haujaelewa Israel inataka arshi yote ya palestine na sio nchi nyingine njoo na ushahidi kuwa Israel inataka nchi nyingine mbali na Palestine. Yaani Israel inataka kuwaondoa wapalestina katina Ramani ya dunia.
Kama Israel haitaki ardhi zingine 1948 kwanini ilianzisha expansion??
KWanini iliteka Sinai na Gollan heights 1967 na kwanini iliikalia Bint jubeir ya Lebanon na kusimika bendera ya Israel??
Nipe hayo majibu kesha nitakuletea ushahidi.
Ushahidi wa Waisraeli kukimbia nchi kisa mapigano huo hapo chini.