Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Sio haujaelewa Israel inataka arshi yote ya palestine na sio nchi nyingine njoo na ushahidi kuwa Israel inataka nchi nyingine mbali na Palestine. Yaani Israel inataka kuwaondoa wapalestina katina Ramani ya dunia.
Nimekwambia unipe jibu.
Kama Israel haitaki ardhi zingine 1948 kwanini ilianzisha expansion??
KWanini iliteka Sinai na Gollan heights 1967 na kwanini iliikalia Bint jubeir ya Lebanon na kusimika bendera ya Israel??
Nipe hayo majibu kesha nitakuletea ushahidi.
Ushahidi wa Waisraeli kukimbia nchi kisa mapigano huo hapo chini.
Screenshot_2024-03-11-21-03-12-99_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-03-11-21-03-44-32_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Haujanijibu swali langu, sijabadilisha swali nakuuliza kwa bold letters

Nimekuambia leta nchi ambayo imeisumbua Israel mpaka wayahudi wakaomba hifadhi katika nchi zingine kama wakimbizi toka Israel ilipoweka himaya Palestina mwaka 1948 ?
Ushawekewa ushahidi chini kule kausome.
LEBANON.
WACHA TUKASWALI TARAWIIH WEWE SOMA USHAHIDI HAPO CHINI NISHAKUWEKEA.
 
Nimekwambia unipe jibu.
Kama Israel haitaki ardhi zingine 1948 kwanini ilianzisha expansion??
KWanini iliteka Sinai na Gollan heights 1967 na kwanini iliikalia Bint jubeir ya Lebanon na kusimika bendera ya Israel??
Nipe hayo majibu kesha nitakuletea ushahidi.
Ushahidi wa Waisraeli kukimbia nchi kisa mapigano huo hapo chini.
View attachment 2931925View attachment 2931926
Hizo ni data za internet naomba uniambie sehemu ambayo wayahudi wameomba hifadhi kama wakimbizi baada ya kupookea kipigo kutoka kwa waarabu.
 
Safi sana naona unakariri maisha maisha ya sasa sio kama zamani. Wewe oa halafu huna uwezo hata wa kula milo mitatu uje ututolee huo mfano na uje utufundishe maisha. Maisha hayana formula lakini maisha ni kujipanga. Nilichokisema kuhusu kuoa ni ukweli mchungu. Kumbuka pia wapo walioowa wakiwa hawana hela baada ya kufanikiwa wakajua kuwa walikosea kuchagua mke. Nimejifunza mengi sana katika muda mfui nilioishi hapa duniani.
Unaye kariri maisha ni ww unaye dhani kwenda Ulaya na kusomea Ulaya kila kitu kikubwa kwenye maisha ya binadamu hali yakuwa sasa hivi kuna baadhi ya nchi ukienda ni bora mara 10 ya hiyo ulaya.
 
Ushawekewa ushahidi chini kule kausome.
LEBANON.
WACHA TUKASWALI TARAWIIH WEWE SOMA USHAHIDI HAPO CHINI NISHAKUWEKEA.
Kusafiri sio sawa na kuomba hifadhi ndugu yangu hujui maana ya Vita ndio maana nakuambia kuwa toka 1948 hakuna nchi iliyomtetemesha Israel. Niletee ushahidi kuwa waisraeli wapo katika kambi ya wakimbizi kama wahanga wa vita hilo tu. Na kumbuka Israel ni taifa toka 1948. Naomba nikuulize ni miaka mingapi hapo ?
 
Unaye kariri maisha ni ww unaye dhani kwenda Ulaya na kusomea Ulaya kila kitu kikubwa kwenye maisha ya binadamu hali yakuwa sasa hivi kuna baadhi ya nchi ukienda ni bora mara 10 ya hiyo ulaya.
Unani-attack kwa sababu umeshindwa mada narudia kwa mara ya tano naomba uniletee nchi iliyompiga Israel mpaka wayahudi wakapewa recognition na UNHCR kama wakimbizi ? Na kumbuka Israel ipo hapo toka 1948
 
Nimekwambia unipe jibu.
Kama Israel haitaki ardhi zingine 1948 kwanini ilianzisha expansion??
KWanini iliteka Sinai na Gollan heights 1967 na kwanini iliikalia Bint jubeir ya Lebanon na kusimika bendera ya Israel??
Nipe hayo majibu kesha nitakuletea ushahidi.
Ushahidi wa Waisraeli kukimbia nchi kisa mapigano huo hapo chini.
View attachment 2931925View attachment 2931926
Siwezi kuku-attack lakini inaelekea haujui historia ya Israel vizuri kuna kitu kinaitwa six day war niliacha kukiongeelea kwa sababu nilikuwa nataka tuongelee hali ya sasa. Waarabu walivyoona wayahudi wamejimilikisha Palestina walijikusanya na kupigana kwa pamoja against Israel.(Ilikuwa vita ya siku sita) Baada ya vita Israeli ilikuwa imeteka Ukanda wa Gaza, Rasi ya Sinai, Ukingo wa Magharibi wa Mto Yordani (pamoja na Yerusalemu Mashariki), na Milima ya Golan.Takriban Waarabu milioni moja waliwekwa chini ya udhibiti wa moja kwa moja wa Israeli katika maeneo mapya yaliyotekwa. Urefu wa kimkakati wa Israeli ulikua angalau kilomita 300 kusini, kilomita 60 mashariki, na kilomita 20 za ardhi ngumu sana kaskazini, mali ya usalama ambayo ingefaa katika Vita vya Yom Kippur miaka sita baadaye. Hii ni nguvu ya shule na kujituma. Hapa nimekujibu kwa nini Israel iliteka Sinai na Golan.
 
Huna akili binadamu wanaishi kwa kutegemeana hakuna binadamu anaye weza kujitosheleza kwa lolote.

Na ndio maana nakuambia kuwa iwapo maisha yanaenda kwa hiyo tafsiri yako sasa hivi hukutakiwa kuwa Ujerumani bali ulitakiwa uende chumbani kwako usinzie na uiote hiyo elimu uliyo enda kuifuata Ujerumani.
Hilo neno la kumwambia mwenzako hana" Akili" inaonekana jinsi ulivo kosa wewe hizo akili. Kwenye mijadala huwezi kuweka maneno kama hayo. Maana wewe inaonekana unsshindwa kujenga hoja na mwisho unakimbilia kwenye maneno kama hayo. Ingekua kile kipindi cha utoto tungesema umeshindwa kupigana unakimbilia mawe.
 
Ni vi-Nchi masikini tu ndo vina hii dhana ya ukisoma ng'ambo ndo umeula. Sana sana vi-Nchi vya bara la Asia(dunia ya pili) na Afrika(dunia ya tatu/bara la giza).
Mkuu inatakiwa utambue nguvu ya elimu katika maamuzi , then utakuja kujua kuwa kwa ulimwengu wa sasa elimu bora ina mchango mkubwa.
 
Mkuu inatakiwa utambue nguvu ya elimu katika maamuzi , then utakuja kujua kuwa kwa ulimwengu wa sasa elimu bora ina mchango mkubwa.
Elimu bora ni dhana pana sana Mkuu, unajua vi-Nchi vyetu hivi vya ulimwengu wa tatu, bado tuna akili za kitumwa na hatujui kuwa muhimu wa elimu uko pale tu elimu ikitumika.
Wahitimu wangapi kwa mwaka wanamaliza katika ngazi tofauti na bado tunakabiliwa na changamoto tunaziona kabisa zikihitaji elimu na elimu hazijatumika kutatua na wasomi wapo.
Achana na ubora ambao ni dhana yenye mjadala mpana ila hata hiyo iliyopo inashindwa kutatua changamoto zetu ndogo Mkuu.
 
Hilo neno la kumwambia mwenzako hana" Akili" inaonekana jinsi ulivo kosa wewe hizo akili. Kwenye mijadala huwezi kuweka maneno kama hayo. Maana wewe inaonekana unsshindwa kujenga hoja na mwisho unakimbilia kwenye maneno kama hayo. Ingekua kile kipindi cha utoto tungesema umeshindwa kupigana unakimbilia mawe.
Kwa hiyo kama hana akili asiambiwe?
Jamaa ana sema kila binadamu ajitegemee alafu wakati huo anajigamba kuwa kwenye nchi za watu anaganga njaa.
 
Siwezi kuku-attack lakini inaelekea haujui historia ya Israel vizuri kuna kitu kinaitwa six day war niliacha kukiongeelea kwa sababu nilikuwa nataka tuongelee hali ya sasa. Waarabu walivyoona wayahudi wamejimilikisha Palestina walijikusanya na kupigana kwa pamoja against Israel.(Ilikuwa vita ya siku sita) Baada ya vita Israeli ilikuwa imeteka Ukanda wa Gaza, Rasi ya Sinai, Ukingo wa Magharibi wa Mto Yordani (pamoja na Yerusalemu Mashariki), na Milima ya Golan.Takriban Waarabu milioni moja waliwekwa chini ya udhibiti wa moja kwa moja wa Israeli katika maeneo mapya yaliyotekwa. Urefu wa kimkakati wa Israeli ulikua angalau kilomita 300 kusini, kilomita 60 mashariki, na kilomita 20 za ardhi ngumu sana kaskazini, mali ya usalama ambayo ingefaa katika Vita vya Yom Kippur miaka sita baadaye. Hii ni nguvu ya shule na kujituma. Hapa nimekujibu kwa nini Israel iliteka Sinai na Golan.
Hii historia wewe umemezeshwa na umeongea uongo mtupu.
Kama hujui sema uelezwe.
KAbla ya six days war 1948 kuna vita ilipiganwa.
Na six days war haipo hivyo kama ulivyodanganywa wewe.
Six days war ilipiganwa 1967 June 5-10.
Hii vita ili aim kuishambulia kwa kushtukiza Egypt na Syria kabla hawajajiandaa kijeshi.
Maana Egypt ilinunua ndege vita 200 za kisoviet na kuunda kambi ya jeshi la anga Sinai.
Na Syria waliunda kambi ya jeshi la anga Gollan Heights.
Intelijensia ya Israel ilipopata habari jeshi la anga la Israel lilivamia kwa mpigo Syria Gollan na Sinai Egypt na kuteketeza silaha zote na kukalia hayo maeneo na kuweka buffer zone.
HUJUI HISTORIA WEWE BADO MTOTO MDOGO SANAAAAA.
KATIKA SIX DAYS WAR KIVITA ILIHUSIKA EGYPT NA SYRIA HAWAKUHUSIKA WAARABU WOTE.
HALAFU ACHA KUMEZESHWA STORI ZA ALFULELA HULELA.
 
Siwezi kuku-attack lakini inaelekea haujui historia ya Israel vizuri kuna kitu kinaitwa six day war niliacha kukiongeelea kwa sababu nilikuwa nataka tuongelee hali ya sasa. Waarabu walivyoona wayahudi wamejimilikisha Palestina walijikusanya na kupigana kwa pamoja against Israel.(Ilikuwa vita ya siku sita) Baada ya vita Israeli ilikuwa imeteka Ukanda wa Gaza, Rasi ya Sinai, Ukingo wa Magharibi wa Mto Yordani (pamoja na Yerusalemu Mashariki), na Milima ya Golan.Takriban Waarabu milioni moja waliwekwa chini ya udhibiti wa moja kwa moja wa Israeli katika maeneo mapya yaliyotekwa. Urefu wa kimkakati wa Israeli ulikua angalau kilomita 300 kusini, kilomita 60 mashariki, na kilomita 20 za ardhi ngumu sana kaskazini, mali ya usalama ambayo ingefaa katika Vita vya Yom Kippur miaka sita baadaye. Hii ni nguvu ya shule na kujituma. Hapa nimekujibu kwa nini Israel iliteka Sinai na Golan.
Halafu pia hayo maelezo uloleta ni ya mapigano yaloanzishwa na wapalestina kabla ya six days war yaliyoungwa mkono na Syria,Jordan na Egypt.
Izungumzie six days war kama six days war ya June.
Basi sawa tufanye umepatia maelezo yako.
Vipi kuhusu Lebanon kuvamiwa 1960s na ardhi yao kukaliwa mpaka 2006???
Hilo unalizungumziaje??
 
Hizo ni data za internet naomba uniambie sehemu ambayo wayahudi wameomba hifadhi kama wakimbizi baada ya kupookea kipigo kutoka kwa waarabu.
Ati we jamaa ni falaa wa kutupwa??
UNABISHANA NA DATA ZA ISRAEL WENYEWE???
NANI KALETA HIZO DATA??
AU ZIMETUNGWA??
IMMIGRATION OFFICIALS WA ISRAEL NDIO WAMETOA HIZO RIPOTI WEWE NI NANI UPINGE??
UNA AKILI KWELI WE JAMAA??
KWAHIYO UHAMIAJI ISRAEL WAMEONGOPA AU SIO??
 
Asante kwa kuniita Fala. Nipe report kuwa Israel wamekuwa wakimbizi katika nchi ya jirani kutokana na kupigwa vita na nchi ya kiarabu. Wayahudi kusafiri sio kukimbia nchi, kipigo kinaumiza nchi pale wananchi wanakimbia nchi mpaka mpaka wa Jirani na kuomba hifadhi kama wakimbizi. Naomba unipe hio nchi ambayo iliwafanya wayahudi kuwa hivi ? Katika historia ya dunia hakuna nchi iliyo shindwa vita bila ya kuwa na wakimbizi.
 
Halafu pia hayo maelezo uloleta ni ya mapigano yaloanzishwa na wapalestina kabla ya six days war yaliyoungwa mkono na Syria,Jordan na Egypt.
Izungumzie six days war kama six days war ya June.
Basi sawa tufanye umepatia maelezo yako.
Vipi kuhusu Lebanon kuvamiwa 1960s na ardhi yao kukaliwa mpaka 2006???
Hilo unalizungumziaje??
Tarehe 11 Machi 1978 watendaji wa PLO wakiongozwa na Dalal Mugrabi, walitekeleza mauaji ya Pwani ya Pwani ndani ya Israeli ambayo yalisababisha vifo vya Waisraeli 37, wakiwemo watoto 13, na 76 kujeruhiwa. Kwa kujibu, vikosi vya Israeli vilivamia kusini mwa Lebanoni ambayo PLO ilifanya kazi mara kwa mara katika miaka ya 1970. Kuanzia usiku wa Machi 14–15 na kufikia kilele siku chache baadaye, wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) waliteka eneo lote la kusini mwa nchi isipokuwa kwa jiji la Tiro na eneo linalozunguka. Operesheni hii inajulikana katika Israeli kama Operesheni Litani, lengo lililotajwa lilikuwa ni kuondoa vituo vya PLO huko Lebanon kusini mwa Mto Litani, ili kupata usalama zaidi wa kaskazini mwa Israeli na kusaidia wanamgambo wa Kikristo wa Lebanon katika kipindi cha kiraia cha Lebanon. Vita - haswa Jeshi Huria la Lebanon. Tarehe 15 Machi 1978 serikali ya Lebanon iliwasilisha maandamano makali kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya uvamizi wa Israel, ikisema kuwa haina uhusiano wowote na operesheni ya Wapalestina.

Mnamo tarehe 19 Machi 1978 Baraza lilipitisha Azimio nambari 425, ambalo liliitaka Israeli kusitisha mara moja harakati zake za kijeshi na kuondoa vikosi vyake kutoka kwa ardhi yote ya Lebanon. Pia ilianzisha Kikosi cha Muda cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon (UNIFIL). Wanajeshi wa kwanza wa UNIFIL walifika katika eneo hilo mnamo Machi 23, 1978.

Ukanda wa Bluu unategemea kupelekwa kwa IDF kabla ya tarehe 14 Machi 1978. Haipaswi kuchanganywa na Ukanda wa Kijani, iliyoanzishwa mwaka wa 1949, ambayo ni ukanda wa silaha wa Vita vya Kiarabu na Israeli vya 1948, wala Ukanda wa Kijani huko Beirut. wakati wa vurugu za miaka ya 1980. Ukanda wa 1949 kwa upande wake ni sawa na Ukanda wa Mamlaka wa 1923 ambao ulikuwa mpaka kati ya eneo la mamlaka ya Ufaransa na Uingereza (Paulet–Newcombe Agreement); Lebanon ni mamlaka ya zamani ya Ufaransa na Palestina / Israeli mamlaka ya zamani ya Uingereza. (League of Nations). Makubaliano ya 1949 yalisema kwamba mpaka huo ungefuata Ukanda wa 1923. [6] Mnamo 1923, alama za mipaka 38 ziliwekwa kando ya mpaka wa maili 49 na maelezo ya kina ya maandishi yalichapishwa.Ukanda wa wa 2000 hutofautiana kwa takriban nusu dazeni fupi fupi kutoka kwa mstari wa 1949, ingawa sio zaidi ya mita 475.

Nimemaliza kukuelezea ninanukuu kutoka kwenye E books zangu nilizoma na ninatype baada ya kupitia vitu nilivyosoma .
 
Asante kwa kuniita Fala. Nipe report kuwa Israel wamekuwa wakimbizi katika nchi ya jirani kutokana na kupigwa vita na nchi ya kiarabu. Wayahudi kusafiri sio kukimbia nchi, kipigo kinaumiza nchi pale wananchi wanakimbia nchi mpaka mpaka wa Jirani na kuomba hifadhi kama wakimbizi. Naomba unipe hio nchi ambayo iliwafanya wayahudi kuwa hivi ?
Ushapewa ripoti kuwa kuna malaki ya wayahudi walihama NCHI KISA VITA KUANZIA OKTOBA 7 2023.
NI NINI MAANA YA MKIMBIZI??
AU KWAKO MKIMBIZI MPAKA AWE KACHOKA ,KACHAKAA,HANA HELA WALA NGUO??
Isome vema hiyo ripoti inasema malaki ya waisrael wamekimbia nchi kwasababu ya vita iloanza october 7 2023.
Je huo sio ukimbizi???
Unachekesha we jamaa.
 
Back
Top Bottom