Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?

Umeanza kudhihirisha uzuzu wako kwa kuanza kujibu kwa jaziba na kashifa.
Sasa kwenye suala la sifa za wakimbizi mambo ya suala tano yametoka wapi?
Hapa tunaongelea vita ya siku sita au tunaongelea sifa ya wakimbizi?

Wakimbizi wote wa Ukraine walioko nchini Urusi hawapati masaada wowote kutoka UNHCR bali wana hudumiwa na serikali ya Urusi labda walio kimbilia nchi nyingine.

Wakimbizi wa kipalestina wa hawapati masaada wowote kutoka UNHCR bali wana shirika lao linalo jitegemea.

Alafu kwanza hizo kazi unazo fanya huko Ujerumani unazifanya saa ngapi? maana kila dk uko humu unaandika pumba tu.
Asante kwa kuniita Zuzu utatukana sana maana ukweli unauma mno.Ndugu yangu ulisema Wakimbizi kutoka Iraq, Iran ana Afghanistan hawasaidiwi na UNHCR leta ushahidi ? Nimeongea facts. Hao wapalestina washasaidiwa sana toka miaka hiyo walikuwa na uwezo wa kupewa uraia Marekani na Ulaya. Wakifika huku wanaweka miguu juu ndio madereva taksi na Mabasi.

Huku baada ya Corona watu kuna Hybrid-work . Nimeona niongelee vita ya siku sita maana naona unachukulia wayahudi wajinga. Dunia haina huruma Wapalestina wana haki lakini wakae kimya wachutame. Usichokoze nyigu wakati huna nguvu ya kukimbia. Wapalestina inabidi wawe na malengo ya muda mrefu. Mipango ya kuanzisha Taifa Israel ilianza 1897 na Israel ikawa taifa 1948. Ukifuatilia wapalestina toka mwaka 1948 mbinu zao ni zile zile huku wa- Israel wana irone- dome. Oktoba 7 waarabu walifurahi leo hii ukiingia mitandaoni wanaomba wayahudi wasimamishe vita. Mimi siandiki Pumba naongea facts. Unakaa unatafuta taarifa zinazoendana na mawazo yako wewe unakuja ku-post hapa.
 
Unajua kuna propaganda kibao katika vita ? Data zenye ukweli ni kutoka UNHCR. Hizo taarifa kutolewa na habari ya Israel haizifanyi kuwa za ukweli. Kuna propaganda wayahudi wanasambaza kubwa wanateswa kila siku ili wapata sababu ya kuwaua Wapalestina. Hizo taarifa sio za kweli ukiangalia nguvu ya Passport ya Israel na Chimbuko la myahudi utajua. Myahudi sio omba omba hata siku moja ndugu yangu.

Naomba Data kutoka UNHCR za wayahudi wakimbizi. Sio lazima ziwe za mwaka jana. Toka mwaka 1948
Unaomba data za UNHCR wakupe idadi ya wakimbizi?😂 Utapata hizo data wapiwakati Israel hawataki kufanya kazi na UN pamoja na masharika yote ambayo yapo chini ya UN hili ulifahamu ndiyo maana povu linakutoka na UNHCR🤣

Wewe si unasema upo Ujerumani nimekuwekea habari kutoka Ujerumani pingq nayo sema propqganda.

Bofya hapa 👇🏽

Isarael imepiga marufuku viongozi wa UN kufika Israel wamenyima viza. Halafu wewe unataka data si unasema upo na Waisrel huko wauluze basi wakusaidie.

Endelea kubisha🤣
 
Israel kutofanya kazi na U.N haifanyi U.N isiwe na data za wakimbizi wayahudi . Wakimbizi wakiomba hifadhi sehemu yeyote duniani Taarifa zinatumwa UNHCR. UNHCR kazi yake ni kupunguza mzigo wa kuhudumia wakimbizi katika nchi waliyoomba hifadhi. U.N haishirikiani na Iran lakini ina data kuhusu wakimbizi wa Iran na inawasaidia wakimbizi wa Iran.

Kagoogole taarifa nyingine inayotetea mawazo yako uilete hapa. Utagoogle mpaka uchoke naongea nachokijua maana hii ishu ninaijua nje ndani.

Leta wakimbizi wayahudi ? Nasubiri hio data.
 
Wewe ufahamu chochote zaidi ya ubishi hapa kwa ajili ya kupinga bahati nzuri tunawapa watu elimu kupitia wewe unalazimisha wakimbizi wote duniani lazima wapitie UHNCR, pia ufahamu kuwa mpaka upate sifa ya ukimbizi ni process kila nchi na utaratibu wake nchi nyingine mpaka upate makaratasi inachukua hata miaka miwili na zaidi umeletewa ushahid wa wakimbizi wa Israel wamekimbia vita Israel hautaki kukubali😂
 
Mimi sitetei Udini wala sio mbishi nawaelewesha watanzania wenzangu maana kuna watu kama wewe mnajidanya na mmnajipa faraja. Unajua maana ya vita kuzalisha wakimbizi ? Unasema sio wakimbizi wote wapo kwenye UNHCR naomba nikuulize hao wakimbizi wayahudi wanahudumiwa na nchi gani ? Na hiyo nchi ipo chini ya U.N au haipo chini ya U.N ? Umesema najua utaratibu wa mkimbizi kupata makazi unachukua zaidi ya miaka miwili. Lakini jua kuwa UNHCR inasaidia wakimbizi waliooomba hifadhi katika nchi husika ni Jukumu lao. Mara tu mtu anapoanza kuomba asylum data zake zinaingizwa UNHCR. Umesema Israel imepigwa mpaka wayahudi wamekuwa wakimbizi na kuomba hifadhi hizo data lazima zitakuwepo UNHCR. Israel gani imepigwa mpaka wayahudi wakaomba hifadhi ?

Waarabu leo hii wanalia mitandaoni wakiomba wayahudi wawaonee huruma. Wayahudi wanajithamini aisee, wapalestina wanakufa kila siku kwa ujinga wa viongozi wao. Mtu unakuja na ideology ya dini katika maisha. Mtu kufanikiwa ni mipango. Wapalestina wana haki lakini wanasubiri kupewa haki yao. Wanajilipua wakidhani wanamkomoa Mu-Israeli.

Nataka uelewe umuhimu wa shule na sio kuwakazania watoto Madrasa. Maana utaona kila mtu anakuonea kumbe wewe ndio una makosa.
 
Naana unaongea uharo mwingi picha yako halisi imeishaonekana ni chuki yako kali sana dhidi ya Waislam mambo ya Madrasa yameingiaje hapa? post zangu hata moja sijaongelea dini. Umehama kwenye hoja ya ukmbizi Wewe ni pungauni hauna kitu unachojua. Halafu usiwapangie Palestina cha kufanya, unajifanya una huruma ni kinafiki, hizo akili zako kipunguani pambana kuswasaidia ndugu zako huko Kijijini kwenu bado wanakunya kwenye choo cha shimo.
 
Naana unaongea uharo mwingi picha yako halisi imeishaonekana ni chuki yako kali sana dhidi ya Waislam mambo ya Madrasa yameingiaje hapa post zangu hata mojq sijaongelea dini. Wewe ni pungauni hauna kitu unachojua. Halafu usiwapangie Palestina cha kufanya najua huruma yako ni kinafiki, hizo akili zako pambana kuswasaidia ndugu zako huko Kijijini kwenu badoa wanakunya kwenye choo cha shimo.
Asante kwa kuniita Punguwani.Mada kuu ya hii thread ni kwa nini Waarabu hawakazani na shule ? Je shule ina umuhimu kwao ? Nilichoongelea sio uongo ni ukweli na uhalisia. Nimeishi Unguja mtoto anakaguliwa madaftari ya Madrasa kuliko ya shule. Siongei kwa kubeza mtu naongea ukweli uliopo hatakama unauma huondio ukweli.

Wapalestina wataendelea kuteswa na Israeli itaendelea kuwa Taifa kwa kuwa waaarabu hawakazani na shule. Watu wana teknolojia ya Irone dome lakini wapalestina bado wanatumia mbinu zao za zamani katika karne ya 21. Mimi simpangii mpalestina maisha. Bali maisha ndio yanampangia mpalestina aishije. Usipojipanga maisha yatakupanga na kukuendesha mpaka utachanganyikiwa.

Mimi sisaidii ndugu zangu bali tunasaidiana nakuonyesha jinsi gani nilivyo na umoja na familia na ukoo wangu. Sisi tuliacha kuitegemea serkali muda mrefu sana. Namshukuru Mungu kwa kila kitu. Katika maisha kuna watu wanapitia hatua nyingi na wanapevuka na kubadilisha mtazamo na fikra zao. Lakini kuna watu wanakufa bila kupitia hizo hatua. Hakuna mtu atakayekuja kukuambia uamke ujitafute. Kuna sehemu unafika unafanya maamuzi magumu na kuamua kupambana. Kijiji ninachotoka kuna nyumba nzuri kuliko hapo Dsm. Inaonekana haujatembea Tanzania.
 
Mada kunuu ni

Case study Havard University: Ni kwanini kuna wasomi wachache kutoka mataifa ya kiarabu kwenye vyuo bora duniani?​

Siyo huo uharo uliondika…

Hao Waarabu ambayo mnasema hawana elimu leo hii wananunua miataa huko Ulaya na Marekani club ya Man City, PSG, New Castle, Fullam, sote wamenunua watu wa Madrsaa pia wanaitaka Man United na Liveeppol wametoa ofa wananuna mpaka madeni na wataendelea kuwapa ojira wazangu ingawa raia wanaandama hawataki kuuziwa waarabu bahati mbaya wazungu wamechoka hawana pesa wanaishi kwa mikopo nilikuwa nakupa kiduchu mambo ya watu wa madrasa
 
Sasa jibu hio mada kwa nini Waarabu hakazani na shule ? Na huko nyuma ulisema shule sio muhimu kwao maana wana hela. Na mimi nimeshakuthibitishia umuhimu wa shule.kwa kukuonesha Israel ameweza kuwadhibiti waarabu toka 1948.

Kununua timu ulaya kumeisaidiaje Waarabu kujimiliki na kujiongoza ? Nchi gani inaruhusu nchi nyingine iweke kambi hao. Wakazanie na kufika Janna Firdaus. Niambie kwa nini Israel bado ipo hapo toka 1948 ? Shule ina umuhimu sana.
 
Makundi ya watu wanaoongoza kimafanikio:-

1.Wafanyabiashara (hapa ndio miamba ipo)
2.Wanasiasa wa Africa
3.Wenye vipaji
4.Wasomi
 
Sasa jibu hio mada kwa nini Waarabu hakazani na shule ? Na huko nyuma ulisema shule sio muhimu kwao maana wana hela. Na mimi nimeshakuthibitishia umuhimu wa shule.kwa kukuonesha Israel ameweza kuwadhibiti waarabu toka 1948.

Kununua timu ulaya kumeisaidiaje Waarabu kujimiliki na kujiongoza ? Nchi gani inaruhusu nchi nyingine iweke kambi hao. Wakazanie na kufika Janna Firdaus. Niambie kwa nini Israel bado ipo hapo toka 1948 ? Shule ina umuhimu sana.
Usilishe maneno wapi nimesema shule siyo muhimu? Halafu unaandika uharo mwingi amabao hauna hoja Waarabu wanajiongoza wenyewe ukuona World Cup Ulaya walikataliwa kuingia Qatar na mambo yao ya kishoga ndege ya Ujerumani iliambiwa igeuze warudi walipotoka hiyo ndiyo kazi ya pesa.
 
Utatukana sana naona ujumbe umefika.Umesema huko nyuma shule sio muhimu naona unajipinga mwenyewe. Amka ndugu yangu unasemaje waarabu wanaojiiongoza wenyewe.Wanajiongozaje wakati kuna Kambi za za Wamarekani ? Nimekuambia nchi unayoenda kuhiji kuna kambi tano za wamarekani. Ukienda kuishi Uarabuni miaka miwili tu ukirudi utajua kuwa hao ni watu wa aina gani.
 
Usiwe kama mtoto wa kike kuja na mipasho sikutukani najaribu kukufundisha ukiweza kuniwekea hayo maneno yangu kuwa nimesema shule siyo muhimu najitoa JF usipoweza kuweka huo ushahidi nakuweka kwenye group la mashoga na naacha mjadala na wewe.
 
Wewe si uliwatetea waarabu kuwa ndio matajiri wa dunia na elimu sio kitu muhimu kwao ? Pesa waliyonayo inawatosha kuinfluence dunia ? Njoo na mada nyingine ndugu yangu. We tukana moaka uchoke kutukana kwako hakunifanyi nishindwe kukuambia ukweli.
1710279331666.png

👆 👆 👆 Hapo juu ulikuwa unatetea Waarabu warudi shule ili wainfluence dunia au ulikuwa unatetea kuwa wana uwezo wa kuinfluence dunia bila elimu. Naomba unijibu ndugu yangu ?
 
Ndiyo mafundisho ya Roho mtakatifu wenu hayo ??
Mafundisho ya Quran
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWE
Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?
MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOASunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Hakika Muhammad alikuwa ni Nabii wa Shetani anaye fuga Watumwa na kuedekeza uzinzi
 
Haya ndiyo anayoyajua huyo Roho Mtakatifu wako ?? Hana jipya ??? Anakuongoza hapa tu wakai wote ??
 
Haya ndiyo anayoyajua huyo Roho Mtakatifu wako ?? Hana jipya ??? Anakuongoza hapa tu wakti wote ??
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWESiku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?
MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOASunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Hakika Muhammad alikuwa ni Nabii wa Shetani anaye fuga Watumwa na kuedekeza uzinzi
 
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWESiku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?
MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOASunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Hakika Muhammad alikuwa ni Nabii wa Shetani anaye fuga Watumwa na kuedekeza uzinzi

ROHO MTAKATIFU wako amelewa ??
 
Back
Top Bottom